Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

Utukome 😹😹
Mnawaweka watu vikoa mpige hela kariakoo. Kuna jamaa yangu ashawahi kunitimua nilkaa dukani kwake kama nusu saa hiv nikaanza kumuona anarembua. Mara kafura anasema niondoke nikajua wenyewe washamkatalia mm kuwepo pale
 
😹😹😹😹 Umeanza fix zako..!!
 
Kwamba umasikini wao unapimwa kwa Bei ya Sato?

Kule Kuna umasikini khasa na sio masikhara
Jaman umskini ni ule uwezo wa kumudu ghrama za maisha ,sasa samaki tu gharama tena wanapatikana huko kwenu hayo mengine mtaweza?
 
Tuwekeze kwenye elimu. Bila elimu hatutatoboa. Kuwa na rasilimali wakati kichwani ni mazwazwa tutaendela kuwanenepesha wawekezaji
 
Vipimo vya umaskini ni vya kipumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…