ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
cc The Great Haya ππππKagera sio tu kwamba inaongoza kwa umaskini wa Mali, hata ushamba.
Ukitaka ku prove hebu panda ndege ukute ndani Kuna mhaya. Au tu ukute mhaya anakula nyama, mtaa mzima utajua au ukute mhaya amenunua Bajaj! Maweee , lazima wiki hiyo anunue walau utumbo nusu kilo kusheherekea.
Bado unaendeshwa na mihemuko nimekwambia ulete source za utajiri hapa tuzijadili bado sizionicc The Great Haya ππππ
Utajiri wa nani? ππBado unaendeshwa na mihemuko nimekwambia ulete source za utajiri hapa tuzijadili bado sizioni
Ndo unajifariji hivo unadhani huku kuna nyumba za tembe kama huko kwenuAkina nshomile walikwenda kujenga mikoa mingine! Nafikiri walikimbizwa na janga la Ukimwi ndiyo maana mkoa wao ni moja ya mikoa maskini.
Utajiri wa hiyo mikoa unayosifia wakati tumeitembea tunakuta watu wake wamechokaUtajiri wa nani? ππ
Idadi ya wachovu ni kidogo kuliko walioko Kagera ππUtajiri wa hiyo mikoa unayosifia wakati tumeitembea tunakuta watu wake wamechoka
Ok ni lini umesikia Kagera wanapewa chakula cha msaada???Idadi ya wachovu ni kidogo kuliko walioko Kagera ππ
Yaani nianze kukutania wakati ukweli uko wazi? ππ
View: https://twitter.com/shambamedia/status/1819635703698874380?t=B5pU5ojtvq_UpfWuldrGuQ&s=19
Swala sio chakula Cha Msaada swala ni uzalishaji mkubwa wenye Tija.Kujikiku ndio inaleta umaskini huko KageraOk ni lini umesikia Kagera wanapewa chakula cha msaada???
Huo ulikuwa mfano bro na sio lazima wote tulime mahindi. Twambie nani mzalishaji mkubwa wa kahawa nchini??Swala sio chakula Cha Msaada swala ni uzalishaji mkubwa wenye Tija.Kujikiku ndio inaleta umaskini huko Kagera
Kilimanjaro ndio inaongoza kwa kuuza kahawa njeHuo ulikuwa mfano bro na sio lazima wote tulime mahindi. Twambie nani mzalishaji mkubwa wa kahawa nchini??
Chakula sio hoja,hoja ni patoOk ni lini umesikia Kagera wanapewa chakula cha msaada???
Kila Siku Huwa nawaambia wahaya waje Kilimanjaro tuwafundishe uchumi hawataki
Minstanbul , mliberali ,The Great Haya ,DR HAYA LAND wacheni viburi njooni kwa waalimu wenu Kilimanjaro mpate lecture
Ulichofanya ni umeonyesha udhaifu wa kutumia hiyo njia kujua nani maskini lakini ndiyo kusema wote huko Kagera wana chakula na elfu 10 isiyoisha kwenye starehe?Unaongelea umasikini kwa ku base kwenye pato la kila mtu bila kuangalia gharama za maisha na matumizi husika ya sehemu husika ?!!!
Hivi hata tunajua maana ya umasikini ? Unaongelea mtu wa Kagera halipi kodi ya nyumba, chakula anatoa shambani na hata elfu kumi ya kunywa konyagi hamalizi starehe yake kwenda kwenye ngoma ni bure....
Alafu homeless yupo Dar hajui hata kama atapata milo mitatu anajiona ni tajiri kwa kutokana na kwamba mkoa huo una viwanda au wazalishaji ingawa pesa hiyo haimsaidii huyu jamaa zaidi ya polution na kuchafuliwa hewa...
Nauliza tena hivi tunajua hata maana ya umasikini au ndio yale sababu kuna namba E nyingi mtaani tunaona tumeendelea kama jamii ?
Tanzania wote hio mikoa ambayo wewe unaita sio masikini wana pesa ya chakula hata cha siku moja ? Bora sehemu ambazo hazina ukame wanaweza wakapata chakula na wana malazi (ndani ya kajumba) majority huko kwenye so called mikoa ambayo sio masikini wanakaa kwenye slumsUlichofanya ni umeonyesha udhaifu wa kutumia hiyo njia kujua nani maskini lakini ndiyo kusema wote huko Kagera wana chakula na elfu 10 isiyoisha kwenye starehe?
Ni wapi Tanzania wakiumwa wanamudu gharama za matibabu au haujatembelea hospitali watu hadi maiti zinawekwa rehani ?Wakiumwa wanamudu gharama za matibabu?
Ni wapi likitokea janga wanajiendesha.., tena achana na janga la once in a lifetime kuna watu Dar kila mvua zikinyesha mito inahamia sebuleni kwaoLikitokea janga ghafla mfano tetemeko wanaweza kujiendesha hadi wapi?
CCM ndio ishike jembe Kwa Ajili Yako?Jibu ni CCM
Mikoa ya Kusini inafanya vizuri Sana kwenye Kilimo Kwa Sasa hasa Korosho na Ufuta.Hukuti Lindi wala Mtwara hapo kusini kuchele!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app