ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
cc The Great Haya 😁😁😁😁Kagera sio tu kwamba inaongoza kwa umaskini wa Mali, hata ushamba.
Ukitaka ku prove hebu panda ndege ukute ndani Kuna mhaya. Au tu ukute mhaya anakula nyama, mtaa mzima utajua au ukute mhaya amenunua Bajaj! Maweee , lazima wiki hiyo anunue walau utumbo nusu kilo kusheherekea.