The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
ππππ Una shida jamaa leta na mapato ya halmashauri basi maana povu limekutoka.Kodi kubwa zipi mlizotoa? Yaani customs na excuse duties zinazokusanya mtukula na mpaka wa Rwanda ni za Wahaya? π€£π€£π€£π€£π€£
Kwa hiyo nyie mafukara ndio mnazalisha bidhaa hizo for exports πππππ
Sasa Mapato ya Halmashauri unataka ushindane na giant yupi?ππππ Una shida jamaa leta na mapato ya halmashauri basi maana povu limekutoka.
Tuliza mshono sasa maana hizi figure ndo uko bize unazitumia kupondea Mwanza, kwa ufupi we ni kigeugeu. Unalazimisha vitu ndo maana mdau amekwambia umeleta top 13 ili na Mbeya iwemoWewe jinga hizo Kodi ni exports/Imports duties as a result of border posts sio Kwa sababu za uzalishaji wenu.
Nyie mafukara mna uzalishaji upi wa maana? Mngekuwa na GDP ya kifukara? ππ
Unadhani kila mtu ni mjinga kama wewe?
Dodoma,Mwanza na Mbeya Hazina hizo exit/entry points lakini zinajitahiso kutokana na shughuli za Uchumi za Wananchi zilizopo.Tuliza mshono sasa maana hizi figure ndo uko bize unazitumia kupondea Mwanza, kwa ufupi we ni kigeugeu. Unalazimisha vitu ndo maana mdau amekwambia umeleta top 13 ili na Mbeya iwemo
Sitaki kushindana we leta na yenyewe tuyapitie. Usichokijua hiyo GDP huwa ina mapungufu kwenye kuelezea uchumi wa watu wa eneo husika hata wataalamu walishasemaSasa Mapato ya Halmashauri unataka ushindane na giant yupi?
Mwisho,Kwa hiyo ushuru wa forodha wa mioakani ni uzalishaji wa wahaya? π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ni ya tatu kwa sababu kodi zetu za TRA zinakuja kujenga hukoDodoma,Mwanza na Mbeya Hazina hizo exit/entry points lakini zinajitahiso kutokana na shughuli za Uchumi za Wananchi zilizopo.
Nyie wengine ni mnabebwa na hizo border posts tuu ndio maana GDP zenu Hazina reflect hayo Mapato yenu.
Mbeya Iko top 3 economic giant ya Tanzania.Mikoa 3 tuu yenye GDP ya zaidi ya 10T.
Kegera mnachoweza ni kupigana miti na kukimbia umaskini kwenu.
Acha kujitafutia presha yaani ka Arusha unataka kapambane na jiji lenye mandevu kama Mwanza utachekesha marehemu.Mkuu mkapambane na Tanga na kilimanjaro mkiwini njooni Arusha habar ya Darban hata dar haifui dafu.
Unaijua king shaka international Airport?
Migodi na mpaka wa siralimkoa wa Mara mnaweza kuonesha vyanzo vyake mpaka ikaipiku mikoa kama Morogoro na ikawa imepishana kidogo na Mwanza.
Mkuu kumbka Arusha ni kinara wa utaliiAcha kujitafutia presha yaani ka Arusha unataka kapambane na jiji lenye mandevu kama Mwanza utachekesha marehemu.
Arusha ina border post moja tu. Arusha kuna shughuli za kiuchumi ambazo ni taxable. Arusha ina diversified economic activities pia. Haitegemei kilimo tu kama Mbeya. Shida yako pengine ni kuijua sana Mbeya peke yake kuliko Tanzania.Nyie na Kagera tofauti yenu ni ndogo sana ,wote mnategemea Mapato kwenye import/export points ambazo ni Border posts na Viwanja vya ndege nothing else
Na ndio border post kubwa kushinda zote maana Iko directly to Nairobi , Commercial City ya Kenya.Arusha ina border post moja tu. Arusha kuna shughuli za kiuchumi ambazo ni taxable. Arusha ina diversified economic activities pia. Haitegemei kilimo tu kama Mbeya. Shida yako pengine ni kuijua sana Mbeya peke yake kuliko Tanzania.
Ndio maana nikasema wewe unaijua sana Mbeya kuliko Tanzania. Shughuli yoyote ya kiuchumi Ina mnyororo wake wa thamani. Unaleta ajira za moja kwa moja na za kujiajiri. Utalii unaachaje kuwagusa mtu mmoja mmoja wa Arusha? Shughuli za forodha pale Namanga hazimkuti mtu mmoja mmoja? Ingekuwa mapato ni kwa forodha, basi Songwe ingefuata baada ya Dar kwa sababu Tunduma ni border kubwa kuliko zote Tanzania. Namangan can be second to Tunduma au Third to Sirari second.Na ndio border post kubwa kushinda zote maana Iko directly to Nairobi , Commercial City ya Kenya.
Ukiacha hapo ni Utalii ,vyote ni natural gifts,walioko kwenye Utalii ndio kidogo wakanufaika na value chain ya utalii.
Ndio maana maisha ya mtu mmja mmja wa Arusha huwezi linganisha na Mbeya.
Exit na entry points hizo Zina Mnyororo upi wa Uchumi wa maana hapo Namanga na Arusha Kwa ujumla?Ndio maana nikasema wewe unaijua sana Mbeya kuliko Tanzania. Shughuli yoyote ya kiuchumi Ina mnyororo wake wa thamani. Unaleta ajira za moja kwa moja na za kujiajiri. Utalii unaachaje kuwagusa mtu mmoja mmoja wa Arusha? Shughuli za forodha pale Namanga hazimkuti mtu mmoja mmoja? Ingekuwa mapato ni kwa forodha, basi Songwe ingefuata baada ya Dar kwa sababu Tunduma ni border kubwa kuliko zote Tanzania. Namangan can be second to Tunduma au Third to Sirari second.
ππni aibu na fedheha mwanza kushindwa na songwe kina ngosha mnakwama wap?
Kwamba wakurya wanaamua kuijenga Mwanza na kuitosa Mara ambao ndio mkoa wao! Wakurya ndio hawana akili namna hii!? Acha fix za kitoto budder ety uache kwko ukampe sifa jirani.Ukanda wote wa Wasukuma kumejaa umasikini,hata hiyo Mwanza wanayoibeba ni Wakurya kutoka Mara.
Miss you too jamani! Ulipotelea wapi?
Hapana, mbona nipo sana tu. Sema tutakuwa tunapishana.Nipo nipo, wewe ndiye wajificha!!
Hapo kwenye vyama vya Ushirika sijakuelewa, ebu dadavua!!Umefanya analysis ndogo sana.Kwa mfano tuchukue taasisi zote za Serikali zinazokusanya pesa , unadhani hiyo Mikoa yote itaizisi Mbeya?
-Mapato ya Halmashauri
-Tume ya Madini
-Vyama vya Ushirika wa mazao
-Utalii
-Tanesco
-Ewura
-Mamlaka ya Bandari
-Tazara
-TBS
-Walipakodi wakubwa mfano TBL,Vodacom,Coca-cola,Mbeya Cement nk ,,Mkoa gani utazidi Mbeya ukiacha Dar,Mwanza labda na Arusha ingawa sidhani (10.8T-8.8T=2T),hii ni Gap kubwa.
So inaelekea hujajua vyema tafsiri ya GDP,ukitoa Government Spending kwingine kote ni flow ya hela.