Ushahidi uko wapi?Ushahidi wa dini katika Qur'an
Surah Aal-Imran (3:19)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
Surah Al-Baqarah (2:256)
"Hakuna kulazimishwa katika Dini. Kwani uwongofu umekwisha bainika na upotofu..."
Surah Al-Kafirun (109:6)
"Nyinyi mna Dini yenu, nami nina Dini yangu."
Hivi mwenye uzi huu siyo yeye kweli
Ushahidi wa dini katika Qur'an
Surah Aal-Imran (3:19)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
Surah Al-Baqarah (2:256)
"Hakuna kulazimishwa katika Dini. Kwani uwongofu umekwisha bainika na upotofu..."
Surah Al-Kafirun (109:6)
Shekhe ubwabwa kaibuka,uislam ni ukafiri
Kwanza Dini ni nini?Ushahidi uko wapi?
Qur'anItikadi sahihi (kumwamini Mungu)
Ibada (kama swala, saumu, n.k.)
Maadili (kama uaminifu, huruma, n.k.)
Subiri tuoneHivi mwenye uzi huu siyo yeye kweli ๐๐ฝ
Nimegundua mbinu mpya kabisa ya kuzalisha gas ya kupikia pasipo kuisha (Gas Re-recycling)
๐๐ wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokoleZamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Arusha na kilimanjaro wangekuwa wameharibikiwa sana wasingekuwapo hapo walipo leoHii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
Watu wa kilimanjaro ukitoka mbeya ,ukaja na maombi ya kuponya magonjwa hasa ukimwi kisukari na pressure ,utapiga pesa za wamama mpaka uchanganyikiweArusha na kilimanjaro wangekuwa wameharibikiwa sana wasingekuwapo hapo walipo leo
Hahaha si kweli, wanakuwa walokole wakiingia kwenye ndoa๐๐ wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokole
Ila kuna namna kuna code wafia dini wanashindwa zifungua๐Wanasema imani ni kuwa na uhakika na mambo yasiyo bayana. Mambo yasiyothibitishika.
Sasa unajiuliza, unakuaje na uhakika na mambo yasiyothibitishika? Ukichaa ndiyo unaanzia hapo.
Waislamu wanaamini jiwe lilikimbia na nguo za Musa. Upuuzi mtupu.
Kwamba Mohammad alipaa kwenye mgongo wa mnyama, akaenda kuswali Al-Aqsa na akarudi usiku huo huo. Upuuzi sana.
Wakristu wanaamini Yesu alifufuka na akapaa mbinguni. Upuuzi mkubwa. Binadamu hafufuki wala hapai.
Hii ni mifano michache ya mambo yasiyo make sense ambayo watu wazima na akili zao wameamua kuyaamini, kuyalinda na hata kuyafia.
Kama si ujinga ni nini?
Dini ni upuuzi. Kupuuzia logic.
Ogopa sana wamama wa kichaga wanaojifanya ni walokole, hasa utawapata marangu na machame kwenye wa Lutheran wengiHahaha si kweli, wanakuwa walokole wakiingia kwenye ndoa
Cc: min -meZamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Eeeh eeeh ehh๐๐ wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokole
Wale waliokanyaga mafuta ya Mwamposa wakafa hovyo, ni watu wa wapi kama sio Klm ?Arusha na kilimanjaro wangekuwa wameharibikiwa sana wasingekuwapo hapo walipo leo
Kabisa man.Ila kuna namna kuna code wafia dini wanashindwa zifungua๐
๐๐๐ wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokole
Ukristu unajikita katika matendo mema sio tu kuwa na imani. Hawa wapuuzi wa kilokole walojikita kwenye miujiza ni sawa na washirikina hawafai kujiita wakristu.Wanasema imani ni kuwa na uhakika na mambo yasiyo bayana. Mambo yasiyothibitishika.
Sasa unajiuliza, unakuaje na uhakika na mambo yasiyothibitishika? Ukichaa ndiyo unaanzia hapo.
Waislamu wanaamini jiwe lilikimbia na nguo za Musa. Upuuzi mtupu.
Kwamba Mohammad alipaa kwenye mgongo wa mnyama, akaenda kuswali Al-Aqsa na akarudi usiku huo huo. Upuuzi sana.
Wakristu wanaamini Yesu alifufuka na akapaa mbinguni. Upuuzi mkubwa. Binadamu hafufuki wala hapai.
Hii ni mifano michache ya mambo yasiyo make sense ambayo watu wazima na akili zao wameamua kuyaamini, kuyalinda na hata kuyafia.
Kama si ujinga ni nini?
Dini ni upuuzi. Kupuuzia logic.