Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Raisi wa nchi hii October mwaka huu atawekwa na Nguvu ya umma na sio huo uchwara wenu Eti mfumo. Kama mlikuwa hamuijui nguvu ya umma mwaka huu ndo mtaijua
 
Endelea kujitekenya et "he will never ever be president of this country.."..!!
Endelea kuota
 
Pol Pole inaonekana ni uchaguzi wako wa kwanza ukiwa mtu mzima.
Nakuhakikishia hivi hiyo mikoa yote Magufuli atashinda vizuri tu. Hiyo mikoa.
 
Endelea kujitekenya et "he will never ever be president of this country.."..!!
Endelea kuota
Wewe ndo unaota Ukipata nafasi ya kuuliza Lisu, Mbowe,Zitto na wengine watakuambia hata ubunge hatuwezi fikisha majimno 30.
 
Wachagga hawawezi kumchagua Lissu!
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba;
Chama au mtu aliyefilisika kisiasa huwa anafanya siasa za ukabila ama Udini.
Wewe ni mmoja wapo wa watu hao pamoja na ccm yako
 
Kule lindi tangu alivowambia atawapiga mpaka shangazi zao hawana hamu nae wanamsubiri tu wamalize kazi.
 
Wafanyakazi hilo siyo swali huko hapati hata atembee uchii.
 
Huyu hapa polepole akithibitisha
Anasisitiza kuwa chaguzi zifanyike kwa uhuru na haki kama ilivyo ada. Maana tokea vyama vingi vianze mwaka 1992 chaguzi zimekuwa huru na za haki. Hakumaanisha kuwa huwa haziko huru.
 

Hivi ni nani aliyewaloga? Toka 1995 nini kimebadilika ktk siasa za nchi hii hadi mjipeni matumaini hayo? Ccm ni ile ile, katiba ni ile ile isipokuwa sheria zinazomlinda raisi na ccm ndiyo zimeongezeka. Poleni sana kwa kupoteza muda wenu.
 
Kuna mikoa mingi sana Lisu atapa kura nyingi sana tulia
 
Hivi yale maduka mliyokuwa mnakopeshwa mabati , nondo na cement , yale ambayo askari wengi mliyatumia kujenga kule kitunda kwanini yaliondolewa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…