Hapa wamechelewa...KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
Wahaya wa siku hizi vilaza, ilikuwa zamani.....
Hapa wamechelewa...KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
Bora wajenge huko, hawa jamaa wako poa kichwani...Ivi kigoma Kuna chuo gan??
Ni kweli wamechelewa sana, ni aibu !!Hapa wamechelewa...
Wahaya wa siku hizi vilaza, ilikuwa zamani.....
Hapa kwenye stendi ya basi nasikia wamekula sana hela......Ni kweli wamechelewa sana, ni aibu !!
Tahadhari tu iwepo kwenye pesa za ujenzi maana huo mkoa kwenye pesa za miradi 🙌
stendi inatia huruma, imechakaa sana, wachache waliokula pesa wanavimbiwa mpaka wanaanza kuziita milioni 30 chenchi za mboga
Tunaenda kwa kasi sana kumbuka mpaka miaka ya 90 tulikuwa na chuo kimoja tu, UDSM na matawi yake SUA, UCLAS na Muhimbili. Vyuo vikuu tulivisikia Dar tu sasa ni mikoa michache tu inakosa vyuo vikuu, na tena kuna mikoa yenye vyuo vikuu 4-6 vinatoa degree, e.g. Morogoro, Arusha, Kilimanjaro, etc.Nimepitia TCU Guidebook hicho chuo wanatoa degree lakini ni kozi 1 tu ya ufugaji wa nyuki hata hivyo wamejitahidi
Lindi ni kweli matawi ya udsm yanajengwa, mcheza kwao hutuzwa, Majaliwa kafanya yake
Mara hivyo vyuo vyote ulivyotaja ni DIPLOMA, hakuna hata kimoja chenye DEGREE
Bila tume huru ya uchaguzi, katiba mpya na ccm kutolewa hakuna lolote.
Kigoma wajengewe chuo cha kutoa kozi za UbishiIvi kigoma Kuna chuo gan??
Iringa kuna chuo kimoja cha serikali cha ualimu kinaitwa Mkwawa University. Chuo binafsi kipo ni Tumani University, Chuo cha kanisa katoliki ni RUCO.Iringa na Kilimanjaro kuna chuo gani?
Hiki cha Katoliki kumbe..... kanisa katoliki vipo KCMC
Kipo Moshi sehemu gani? Kinaitwaje?Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Nimepitia page ya KCMC kwa kuhakikisha kumbe ni chuo cha Kanisa la lutheran ELCT (Evangelical Lutheran Church in Tanzania)Hiki cha Katoliki kumbe..
Kipo Moshi sehemu gani? Kinaitwaje?
kcmuco.ac.tz
Wakatoliki wanadhani kila vyuo vizuri ni vya kwaoNimepitia page ya KCMC naona ni chuo cha Kanisa la lutheran ELCT (Evangelical Lutheran Church in Tanzania)
About Us -
History Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMU College) was established in 1997 as a constituent college of Tumaini University (TUMA), driven by the vision of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) and the Good Samaritan Foundation (GSF) to provide quality higher...kcmuco.ac.tz
Chuo cha ustawi wa jamii (ISW) kipo Kisangara, Kilimanjaro
Hakiwezi kuwa chuo kikuu hicho🤣🤣🤣Chuo cha ustawi wa jamii (ISW) kipo Kisangara, Kilimanjaro
KCMC ni chuo kizuri?Wakatoliki wanadhani kila vyuo vizuri ni vya kwao
Hata wewe ni mkurupukaji! Ukisoma vizuri utaona kuwa mleta mada hajasema kuwa hakuna vyuo, bali ameongelea vyuo vinavyotoa degree.Ni chuo sio chuo?
UDOM wamecheza vizuri. Sema tatizo nani anapenda kwenda kusoma kwenye hayo matawi?NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
Ilikuwa Shule Ya Secondary Ilabadilishwa Matumizi AnganiHicho chuo hakina wanafunzi miaka 13, kilijengwa kisiasa sana kupelekwa Butiama, Ni bora kingejengwa Musoma mjini
Pitia TCU guidebook