Mikoa hii haina vyuo vikuu kabisa wala mpango wa kuvijenga. Serikali iwajibike kuisaidia haraka

Mikoa hii haina vyuo vikuu kabisa wala mpango wa kuvijenga. Serikali iwajibike kuisaidia haraka

Wakatoliki wanadhani kila vyuo vizuri ni vya kwao
Lengo la vyuo si mashindano ni kurahisisha usambazaji wa elimu bora.

Kanisa la Lutheran wanlianzisha chuo cha KCMC na Tumaini University.

Kanisa Katoliki si wa kuwabeza, wamesambaza vyuo vingi zaidi,
  • SAUT - Mwanza, Dsm na Arusha
  • CUoM - Mbeya
  • Bugando - Mwanza
  • RUCO - Iringa
  • MWECAU - Moshi
  • AMUCTA - Tabora
  • Stella Maris - Mtwara
  • St Francis - Morogoro
  • Jordan - Morogoro
 
UDOM wamecheza vizuri. Sema tatizo nani anapenda kwenda kusoma kwenye hayo matawi?
Mkoa wa Njombe kuna maelfu ya wahitimu wa Sekondari kila mwaka, Chuo chenye nafasi 800 kitajaa tu,

Mkoa ukiwa na chuo ghaama za kusoma vyuoni zinapungua, Inakuwa rahisi kwa watu wenye mahitaji maalum kwenda vyuoni chini ya uangalizi wa watu wa karibu, Wazazi / Walezi wanapata muamko zaidi wa kupeleka watoto chuoni, n.k.
 
MUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree

Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!

  • MARA (Kuna chuo cha Butiama kijijini kwa Nyerere kilijengwa kisiasa, kimebaki majengo)
  • RUVUMA
  • PWANI
  • MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
  • SONGWE
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
  • KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
  • LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
  • NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
  • KATAVI - Kuna tawi la SUA
  • RUKWA - Kuna tawi la MUST
  • KIGOMA - Kuna tawi la TIA
  • SINGIDA - Kuna tawi la TIA
  • SIMIYU - Kuna tawi la IFM
Lakini ni muhimu kwa watu kusafiri kwenda kupata exposure kwenye ,aeneo mengine badala ya kusoma
  1. Primary school Bukoba
  2. Secondary school Bukoba
  3. Advanced school Bukoba
  4. Chuo Bukoba
  5. Ajira Bukoba
 
OUT wapo mikoa yote
 
Na kuna watu wa mikoa mingine nao inabidi wabadilishe mazingira wasome vyuo vya Bukoba lakini tatizo hakuna chuo Bukoba.

Lakini muhimu zaidi mkoa ukiwa na chuo gharama za kusoma chuo zinapungua mfano unaweza kuishi / kula kwenu wakati unasoma chuo na hugharamiki nauli za mabasi ya mkoani, Pia inasaidia wale wasiotaka kwenda form 6 na wale walio kosa sifa za kwenda form 6 kusoma diploma na kupata sifa za kuendelea degree na kazi wanazipata tena wao wana uwanja mpana zaidi kuzidi wenzao walioenda form 6 kasoro kozi chache kama za udaktari, muamko wa wazazi / walezi kwenda chuo unaongezeka vyuo vikiwa jirani.
 
MUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree

Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!

  • MARA (Kuna chuo cha Butiama kijijini kwa Nyerere kilijengwa kisiasa, kimebaki majengo)
  • RUVUMA
  • PW
Pwani Kuna chuo kikubwaaa cha siasa Africa mashariki tena magu ndo alizindua....na Kuna OPEN UNIVERSITY.... Na college kibao hususan vya afyaaa
  • ANI
  • MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
  • SONGWE
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
  • KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
  • LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
  • NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
  • KATAVI - Kuna tawi la SUA
  • RUKWA - Kuna tawi la MUST
  • KIGOMA - Kuna tawi la TIA
  • SINGIDA - Kuna tawi la TIA
  • SIMIYU - Kuna tawi la IFM
USHAURI:

Ni aibu watu wa mkoa mzima kukosa hata chuo kimoja na kulazimika kwenda mikoa mingine, Ningependekeza mikoa iliyokosa vyuo wafutiwe aibu hio, chuo cha TIA tayari wamejitahidi sana kufungua matawi mikoani ni zamu ya vyuo vingine. Ingependeza kuliona Tawi la DIT Manyara, Tawi la Mzumbe Mara, Tawi la Udom Geita, Tawi la IFM Songwe, Tawi la Udsm Pwani.
Kwelii ww huna unachoo jua ni ujinga tuuu
 
Pwani Kuna chuo kikubwaaa cha siasa Africa mashariki tena magu ndo alizindua....na Kuna OPEN UNIVERSITY.... Na college kibao hususan vya afyaaa

Kwelii ww huna unachoo jua ni ujinga tuuu
Pwani kuna shule ya siasa sio chuo, shule hio inaitwa Mwalimu Julius Nyerere Leadership School (Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Julius Nyerere ), wanatoa mafunzo tu, hawatoi diploma wala degree.

Open University kipo kila mkoa ni maalum zaidi kwajili ya watu ambao tayari wameajiriwa wanaongeza elimu wapate promotion, hawaingii darasani wanajisomea kivyao, wanaenda muda wa mitihani tu

Hizo college zinatoa Diploma hakuna degree
 
Havina faidi sana,washauri wajenge veta na viwanda vya kutosha.
 
Hicho chuo hakina wanafunzi miaka 13, kilijengwa kisiasa sana kupelekwa Butiama kijijini kwa Nyerere.

Ni bora zaidi wangejenga tawi la Mzumbe, TIA, DIT, n.k. pale Musoma mjini makao makuu ya mkoa wa Mara.
Kwasasa Butiama siyo kijiji.

Ni Wilayà na Halmashauri inayojitegema, tena yenye mapato mazuri tu ya kujiendesha kuliko hata wilaya na Halmashuri kongwe.
 
Kwasasa Butiama siyo kijiji.

Ni Wilayà na Halmashauri inayojitegema, tena yenye mapato mazuri tu ya kujiendesha kuliko hata wilaya na Halmashuri kongwe.
Uzi ni wa maendeleo ya kielimu

Mkoa mzima wa Mara hauna chuo hata kimoja cha serikali kinachotoa degree

Hicho chuo cha Butiama kilijengwa 2010 lakini mpaka leo hakijakamilika, huoni tatizo hapo ?
 
Uzi ni wa vyuo sio maendeleo, Tukizungumzia maendeleo hata mkoa wenyewe bado upo nyuma.
Mkoa umelala kwasababu sisi wenyewe hatujitambui.

Mara hakuna nini?

Kuna migodi inachangia MADUHULI (CSR) halmashauri.

Michango ya hiari.

Kujenga zahanati na vituo vya afya mnashindwaje?

Ziwa

Bwawa

Ardhi kubwa ya kifugaji

Ardhi yenye rutuba ya kulima.

Tunaweza nini,?

Juzi hapa kafa Jamaa wa Mara ana watoto karibu 20 hata pa kukaa hana, kwasababu ana nyumba Masaki
Chuo kilijengwa 2010 lakini mpaka leo hakijakamilika, huoni tatizo hapo ?
Chuo nimepita huko juzi, nadhani kabla mwaka huu haujaisha kitakuwa tayari, maana wako kwenye finishing na pavements.

View: https://www.instagram.com/reel/DHxtc9HynCn/?igsh=a3BvcmpubmwwcjJl
 
Havina faidi sana,washauri wajenge veta na viwanda vya kutosha.
VETA ni muhimu kwa ujuzi na wamejitahidi kuwa na matawi mikoa yote nchi nzima.

lakini nchi inahitaji pia wanasheria, IT, madaktari, wachumi, wahasibu, walimu, watafiti, n.k. hawa hupatikana kupitia vyuo.
 
Back
Top Bottom