round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
- Thread starter
- #61
Mkoa umelala kwasababu sisi wenyewe hatujitambui.
Mara hakuna nini?
Kuna migodi inachangia MADUHULI (CSR) halmashauri.
Michango ya hiari.
Kujenga zahanati na vituo vya afya mnashindwaje?
Ziwa
Bwawa
Ardhi kubwa ya kifugaji
Ardhi yenye rutuba ya kulima.
Tunaweza nini,?
Juzi hapa kafa Jamaa wa Mara ana watoto karibu 20 hata pa kukaa hana, kwasababu ana nyumba Masaki
Chuo nimepita huko juzi, nadhani kabla mwaka huu haujaisha kitakuwa tayari, maana wako kwenye finishing na pavements.
View: https://www.instagram.com/reel/DHxtc9HynCn/?igsh=a3BvcmpubmwwcjJl
Huku sio Kenya kusema kwamba kila mkoa unaweza kujikusanyia kodi zake na kuamua miradi, Hii ni TZ, Kodi zote zinawekwa sehemu moja zinaamuliwa zitumike wapi haijalishi mkoa unachangia kiasi gani.
Vyuo vya serikali vinajengwa na kodi, Kila mkoa unaochangia kodi una haki ya kupata vyuo, Elimu ni huduma muhimu sana ya kijamii, mkoa mzima kukosa hata chuo kimoja ni kukosa huduma critical,
Hicho chuo kila mwaka ni stori hizo hizo za "Mwakani kinaweza kuanza" tangu 2010