Mikoa hii haina vyuo vikuu kabisa wala mpango wa kuvijenga. Serikali iwajibike kuisaidia haraka

Hapa kwenye stendi ya basi nasikia wamekula sana hela......

View attachment 3323944
stendi inatia huruma, imechakaa sana, wachache waliokula pesa wanavimbiwa mpaka wanaanza kuziita milioni 30 chenchi za mboga

Greed kitu kibaya sana, Bukoba mambo ya siasa za kijamii bado sana, inabidi wasimamiwe na watu wengine kwenye miradi
 
Tunaenda kwa kasi sana kumbuka mpaka miaka ya 90 tulikuwa na chuo kimoja tu, UDSM na matawi yake SUA, UCLAS na Muhimbili. Vyuo vikuu tulivisikia Dar tu sasa ni mikoa michache tu inakosa vyuo vikuu, na tena kuna mikoa yenye vyuo vikuu 4-6 vinatoa degree, e.g. Morogoro, Arusha, Kilimanjaro, etc.
 
Iringa na Kilimanjaro kuna chuo gani?
Iringa kuna chuo kimoja cha serikali cha ualimu kinaitwa Mkwawa University. Chuo binafsi kipo ni Tumani University, Chuo cha kanisa katoliki ni RUCO.

Kiimanjaro vyuo vya serikali kuna MOCU (Zamani Muccobs), Chuo cha usimamizi wa wanyama pori na Chuo cha Ustawi wa Jamii. Vyuo vya kanisa kuna KCMC cha kanisa la Lutheran na Mwenge Catholic University (MWECAU) cha kanisa katoliki.
 
Hiki cha Katoliki kumbe..

Kipo Moshi sehemu gani? Kinaitwaje?
Nimepitia page ya KCMC kwa kuhakikisha kumbe ni chuo cha Kanisa la lutheran ELCT (Evangelical Lutheran Church in Tanzania)


Chuo cha ustawi wa jamii (ISW) kipo Kisangara, Kilimanjaro
 
Wakatoliki wanadhani kila vyuo vizuri ni vya kwao
 
Mada nzuri sana. Badala ya kumpinga mtoa mada turekebishe mikoa aliokosea. Ujumbe mzuri.
 
Hicho chuo hakina wanafunzi miaka 13, kilijengwa kisiasa sana kupelekwa Butiama, Ni bora kingejengwa Musoma mjini

Pitia TCU guidebook
Ilikuwa Shule Ya Secondary Ilabadilishwa Matumizi Angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…