round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
- Thread starter
-
- #41
Lengo la vyuo si mashindano ni kurahisisha usambazaji wa elimu bora.Wakatoliki wanadhani kila vyuo vizuri ni vya kwao
Wanatoa Bachelor Degree in Social WorkHakiwezi kuwa chuo kikuu hicho🤣🤣🤣
Kuna wananchi wanasoma hapo?Wanatoa Bachelor Degree in Social Work
Tafadhali mkuu naomba huu uzi usiugeuze uwe wa mashindano ya vyuo, naomba tufocuss na ukosefu wa vyuo kwenye baadhi ya mikoa.KCMC ni chuo kizuri?
Mkoa wa Njombe kuna maelfu ya wahitimu wa Sekondari kila mwaka, Chuo chenye nafasi 800 kitajaa tu,UDOM wamecheza vizuri. Sema tatizo nani anapenda kwenda kusoma kwenye hayo matawi?
Lakini ni muhimu kwa watu kusafiri kwenda kupata exposure kwenye ,aeneo mengine badala ya kusomaMUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
- MARA (Kuna chuo cha Butiama kijijini kwa Nyerere kilijengwa kisiasa, kimebaki majengo)
- RUVUMA
- PWANI
- MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
- SONGWE
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
- KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
- LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
- NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
- KATAVI - Kuna tawi la SUA
- RUKWA - Kuna tawi la MUST
- KIGOMA - Kuna tawi la TIA
- SINGIDA - Kuna tawi la TIA
- SIMIYU - Kuna tawi la IFM
TIA - Tanzania Institute of AccountancyMtwara kuna chuo gani?
OUT wapo mikoa yoteMUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
- MARA (Kuna chuo cha Butiama kijijini kwa Nyerere kilijengwa kisiasa, kimebaki majengo)
- RUVUMA
- PWANI
- MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
- SONGWE
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
- KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
- LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
- NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
- KATAVI - Kuna tawi la SUA
- RUKWA - Kuna tawi la MUST
- KIGOMA - Kuna tawi la TIA
- SINGIDA - Kuna tawi la TIA
- SIMIYU - Kuna tawi la IFM
Na kuna watu wa mikoa mingine nao inabidi wabadilishe mazingira wasome vyuo vya Bukoba lakini tatizo hakuna chuo Bukoba.Lakini ni muhimu kwa watu kusafiri kwenda kupata exposure kwenye ,aeneo mengine badala ya kusoma
- Primary school Bukoba
- Secondary school Bukoba
- Advanced school Bukoba
- Chuo Bukoba
- Ajira Bukoba
OUT ni open University hawaingii darasani kinawafaa zaidi watu walio makazini, wanajisomea majumbani wanaenda chuoni kufanya mitihani tu.OUT wapo mikoa yote
Pwani Kuna chuo kikubwaaa cha siasa Africa mashariki tena magu ndo alizindua....na Kuna OPEN UNIVERSITY.... Na college kibao hususan vya afyaaaMUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!
- MARA (Kuna chuo cha Butiama kijijini kwa Nyerere kilijengwa kisiasa, kimebaki majengo)
- RUVUMA
- PW
Kwelii ww huna unachoo jua ni ujinga tuuuMikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
- ANI
- MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
- SONGWE
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
- KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
- LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
- NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
USHAURI:
- KATAVI - Kuna tawi la SUA
- RUKWA - Kuna tawi la MUST
- KIGOMA - Kuna tawi la TIA
- SINGIDA - Kuna tawi la TIA
- SIMIYU - Kuna tawi la IFM
Ni aibu watu wa mkoa mzima kukosa hata chuo kimoja na kulazimika kwenda mikoa mingine, Ningependekeza mikoa iliyokosa vyuo wafutiwe aibu hio, chuo cha TIA tayari wamejitahidi sana kufungua matawi mikoani ni zamu ya vyuo vingine. Ingependeza kuliona Tawi la DIT Manyara, Tawi la Mzumbe Mara, Tawi la Udom Geita, Tawi la IFM Songwe, Tawi la Udsm Pwani.
Pwani kuna shule ya siasa sio chuo, shule hio inaitwa Mwalimu Julius Nyerere Leadership School (Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Julius Nyerere ), wanatoa mafunzo tu, hawatoi diploma wala degree.Pwani Kuna chuo kikubwaaa cha siasa Africa mashariki tena magu ndo alizindua....na Kuna OPEN UNIVERSITY.... Na college kibao hususan vya afyaaa
Kwelii ww huna unachoo jua ni ujinga tuuu
Kwasasa Butiama siyo kijiji.Hicho chuo hakina wanafunzi miaka 13, kilijengwa kisiasa sana kupelekwa Butiama kijijini kwa Nyerere.
Ni bora zaidi wangejenga tawi la Mzumbe, TIA, DIT, n.k. pale Musoma mjini makao makuu ya mkoa wa Mara.
Uzi ni wa maendeleo ya kielimuKwasasa Butiama siyo kijiji.
Ni Wilayà na Halmashauri inayojitegema, tena yenye mapato mazuri tu ya kujiendesha kuliko hata wilaya na Halmashuri kongwe.
Mkoa umelala kwasababu sisi wenyewe hatujitambui.Uzi ni wa vyuo sio maendeleo, Tukizungumzia maendeleo hata mkoa wenyewe bado upo nyuma.
Chuo nimepita huko juzi, nadhani kabla mwaka huu haujaisha kitakuwa tayari, maana wako kwenye finishing na pavements.Chuo kilijengwa 2010 lakini mpaka leo hakijakamilika, huoni tatizo hapo ?
VETA ni muhimu kwa ujuzi na wamejitahidi kuwa na matawi mikoa yote nchi nzima.Havina faidi sana,washauri wajenge veta na viwanda vya kutosha.