Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mkoa | Idadi | |
1 | Mwanza | 7630 |
2 | Geita | 7498 |
3 | Tabora | 7424 |
4 | Dodoma | 6913 |
5 | Kagera | 6618 |
6 | Tanga | 5069 |
7 | Simiyu | 4793 |
8 | Singida | 4748 |
9 | Mara | 4595 |
10 | Shinyanga | 4048 |
11 | Lindi | 3495 |
12 | Morogoro | 3356 |
13 | Mtwara | 3347 |
14 | Kigoma | 3262 |
15 | Dar es Salaam | 3154 |
16 | Ruvuma | 3029 |
17 | Manyara | 2688 |
18 | Katavi | 2505 |
19 | Pwani | 2351 |
20 | Iringa | 2322 |
21 | Mbeya | 2201 |
22 | Rukwa | 2193 |
23 | Songwe | 1935 |
24 | Arusha | 1765 |
25 | Kilimanjaro | 1675 |
26 | Njombe | 1495 |
Ndoa za utotoni na child labor (kuchunga mang'ombe, kulima nk)Wasukuma nin shida?
Top 10 ukitoa mikoa mitatu iliyobaki kanda ya ziwa๐Wasukuma nin shida?
Tunawahi kuolewa๐Wasukuma nin shida?
Ndo maana mnapitwa na DuniaTunawahi kuolewa๐
Ni aibu ofisi za simu za mikopo zote ziko mwanza na geita๐ซข kumbe elimu inatusaidia kujua kutumia simu๐Ndo maana mnapitwa na Dunia
Mnanunua simu za mkononi hamjui kutumia๐
Nilijua Wasukuma lazima washike number za juu huko.Bora wakalime na kuchunga ng'ombe kuliko kwenda shule.Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni Mwanza, Geita, Tabora, Dodoma na Kagera. Mikoa iliyokuwa na dropouts wachache ni Rukwa, Songwe, Arusha, Kilimanjaro na Njombe.
Mkoa
Idadi
1Mwanza
7630 2Geita
7498 3Tabora
7424 4Dodoma
6913 5Kagera
6618 6Tanga
5069 7Simiyu
4793 8Singida
4748 9Mara
4595 10Shinyanga
4048 11Lindi
3495 12Morogoro
3356 13Mtwara
3347 14Kigoma
3262 15Dar es Salaam
3154 16Ruvuma
3029 17Manyara
2688 18Katavi
2505 19Pwani
2351 20Iringa
2322 21Mbeya
2201 22Rukwa
2193 23Songwe
1935 24Arusha
1765 25Kilimanjaro
1675 26Njombe
1495
Bila elimu utaweza kufanya setting za simu kweli ?? Au ndo Kila kukicha Kwa fundi simuNi aibu ofisi za simu za mikopo zote ziko mwanza na geita๐ซข kumbe elimu inatusaidia kujua kutumia simu๐
Umenikumbusha nna rafkiangu mmoja alienda kuwekewa whatsapp Instagram na email kwa kutoa pesa๐คฆ๐ฝโโ๏ธ Hapa kujitetea nimechoka๐Bila elimu utaweza kufanya setting za simu kweli ?? Au ndo Kila kukicha Kwa fundi simu
Hebu niwekee mlio uite nyimbo ya zuchu ๐
Mwanza wapo na wakerewe msisahau๐๐Nilijua Wasukuma lazima washike number za juu huko.Bora wakalime na kuchunga ng'ombe kuliko kwenda shule.
Unaona mambo hayo ๐๐๐Umenikumbusha nna rafkiangu mmoja alienda kuwekewa whatsapp Instagram na email kwa kutoa pesa๐คฆ๐ฝโโ๏ธ Hapa kujitete nimechoka๐
Wewe,mikoa yote ya wasukuma ipo kwenye 10 bora . Jiulize.Mwanza wapo na wakerewe msisahau๐๐
Wanachosha khaa! Kuanzia leo nawahama..๐๐พUnaona mambo hayo ๐๐๐
Hapa kuwatetea ndugu zangu ni ngumu!! Wao na elimu hawapatani au ndio wako wengi kwaio wameongoza timu!Wewe,mikoa yote ya wasukuma ipo kwenye 10 bora . Jiulize.
Sababu pia ndio inaongoza kuandikisha wanafunzi!! Takwimu za hivi bila muktadha ni upotoshaji tu.Top 10 ukitoa mikoa mitatu iliyobaki kanda ya ziwa๐
Wasukumu ni wengi mno , hata mashuleni wao ndio wanaongoza kwa wingiNilijua Wasukuma lazima washike number za juu huko.Bora wakalime na kuchunga ng'ombe kuliko kwenda shule.
Kweli wasukuma tupo zaidi ya million 10.Tupo wengi kuliko wanyarwanda. Tulitakiwa tuwe na nchi yetu.Hapa kuwatetea ndugu zangu ni ngumu!! Wao na elimu hawapatani au ndio wako wengi kwaio wameongoza timu!
Watupe ukanda wetu tu, kanda ya ziwa iwe nchi tu, tupo wengi morogoro kuna eneo wanaishi wao tu wanalima na kufuga balaa, hapo kumbuka tumegawanyika! Kuna video nimeiona mtandaoni wasukuma wamevaa mashuka kama ya kimasai! Nilishangaa siwajui kwakweli!Kweli wasukuma tupo zaidi ya million 10.Tupo wengi kuliko wanyarwanda. Tulitakiwa tuwe na nchi yetu.