Mikoa iliyoongoza kwa wanafunzi wa sekondari kuacha shule kwa mwaka 2024

Kuleta takwimu bila tafsiri unataka watu wafanye nini?

Hii ripoti ilipaswa kuwekwa na majibu ya utafiti.
 
Wasukuma nin shida?
Pascal Mayalla
 
Hii takwimu ya kweli ;

Kaskazini tumeshika mkia maana tunapenda sana elimu.

Misukuma ni kweli ujinga umewajaa shule hawaiwezi.
 
Ndio wapo,wanavaa kama wamasai na sime na mishanga haswaa maeneo ya dodoma huko vijijini ,kuna hao wasukuma,maeneo ya Manda,mpwayungu,huzi,mhemu,chinugulu yaani wilaya ya chamwino wamejaa wssukuma balaa
 
Kama mwanza ipo hapo juu basi hata kwngine kama wamekosea kitakwimu naona wako sahihi tu
 
Umenikumbusha nna rafkiangu mmoja alienda kuwekewa whatsapp Instagram na email kwa kutoa pesaπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ Hapa kujitetea nimechoka😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio wapo,wanavaa kama wamasai na sime na mishanga haswaa maeneo ya dodoma huko vijijini ,kuna hao wasukuma,maeneo ya Manda,mpwayungu,huzi,mhemu,chinugulu yaani wilaya ya chamwino wamejaa wssukuma balaa
Sahivi wamevamia songea Vijijini, wamejaa wasukuma hatariii. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…