Nawapenda sana watu wa huko. Nilivyokua sekondari nilikua naota kuolewa na kuishi A town.Naiyo mka oko.
Unatukubali sana machalii wa R ila ndio unajidai tu kudiss.
Kipi nimekosea hapo?Jesuuu🤭
Hujachelewa niwahi mapema kabla hawajakupiga counter attack.Nawapenda sana watu wa huko. Nilivyokua sekondari nilikua naota kuolewa na kuishi A town.
Sema ndo hivyo mipango sio matumizi😉
Mimi ni 'mfu'Hujachelewa niwahi mapema kabla hawajakupiga counter attack.
Hata kwenye sura mbaya manyara hawapo kabisa labda ugumu wa kula makukuru.Labda ugumu wanaoongelea ni wakuwa na sura mbaya. Sio ile u hardcore wa ki hustler
Mfupi?Mimi ni 'mfu'
Manyara ina makabila mengi ila sijui kama wanakulaga makukuruHata kwenye sura mbaya manyara hawapo kabisa labda ugumu wa kula makukuru.
Na sura nzuri bila hela ni ushoga tuu.Sura za kazi bila pesa unaonekana kama kichaa au mwehu tu.
Kuna wa Iraq , wafyomi, warangi , mang'ati , masai , hadzabe, sandawe , na wachaga na wa nyeramba kama wahamiaji.Manyara ina makabila mengi ila sijui kama wanakulaga makukuru
😁😁Na sura nzuri bila hela ni ushoga tuu.
Mkuu umenikumbusha, niliwahi kwenda manyara siku za nyuma kidogo aisee nilistaajabu, wale watu eti beseni moja linaoshewa vyombo, linafuliwa nguo na linaogewa hilohilo na sabuni hivyohivyo. Tembea uoneNa shangaa manyara eti nayo ipo kwenye list ya wagumu wakati sehemu nyingi tu unakuta hata kuchimba vyoo vya kujistiri wanashindwa🚮
Mfu kilugha cha kwetu old moshiMfupi?
Kwamba umeshaolewa?Mfu kilugha cha kwetu old moshi
NdioKwamba umeshaolewa?
Mtanga unakuwaje mgumu.Daah sisi hatumo?!
Ee ee haya wakinga wamefanyaje? 😹😹wAkinga wanapatikana mkoa gani?,. Hawa watu sio poa