Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

Na shangaa manyara eti nayo ipo kwenye list ya wagumu wakati sehemu nyingi tu unakuta hata kuchimba vyoo vya kujistiri wanashindwa🚮
Mkuu umenikumbusha, niliwahi kwenda manyara siku za nyuma kidogo aisee nilistaajabu, wale watu eti beseni moja linaoshewa vyombo, linafuliwa nguo na linaogewa hilohilo na sabuni hivyohivyo. Tembea uone
 
Huyu ni zao la kanda ya ziwa.
download.jpeg
 
Back
Top Bottom