Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Kama tanga haipo top 5 nakataa,jamii zote za pwani zinazopakana na ufukwe wa bahari hawana desturi ya kuchimba choo, wao hujisaidia baharini kwenye mikoko na kuwatawaza huko huko
 
Mikoa na sehemu zilizopo kando ya bahari siishangai hata kidogo, ukiishi kando ya bahari ndiyo utaelewa.

Tunaenda baharini kufanya mambo yetu. Tunarutubisha samaki, mwani na mikoko.

Na mtu ukimaliza haja zako unatawadha na kukoga kabisa. Ukitoka fresh kabisa, twahiir.

Sasa wale Wenzetu wa vichakani? Ni wagonjwa wa daima, kutwa kucha wao kuchimba dawa.

Ukiwa mgeni huko jichunge sana, ukienda nyuma au pembeni ya nyumba zao unayatimba.
 
Acha kujitetea. Ndio zenu hizo makafiri kushusha mzigo na kuchambia mawe matatu kama Muddy alivyofanya. 😀😀😀
 
Nimeshangaa sana kigoma haipo top 3 🤣🤣.
List yako ni batili.
 
Back
Top Bottom