Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Geita kama mnatuonea tu🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rufiji ni mkoa ?Rufiji mbona haipo?
Mnavyo vyoo??
Wasukuma hawakosagi haya mambo
Ni nchiRufiji ni mkoa ?
Pamoja sana na mm pia nimefurah kwa hilo hatumoNimefirahia Kagera hatuna hizo tabia chafu
Acha kudanganya Kagera mnajisaidia vichakani na kujitawazia majani ya migombaNimefirahia Kagera hatuna hizo tabia chafu
Baharini.Na wewe ni mnya vichakani?
Kwahiyo kule unguja na pemba kwa bossslady wetu ni mwendo wa kuhara kwenye maji na kutawaza na maji chumvi...ndio mana vijana wao wamelegea
Acha kujitetea. Ndio zenu hizo makafiri kushusha mzigo na kuchambia mawe matatu kama Muddy alivyofanya. 😀😀😀Mikoa na sehemu zilizopo kando ya bahari siishangai hata kidogo, ukiishi kando ya bahari ndiyo utaelewa.
Tunaenda baharini kufanya mambo yetu. Tunarutubisha samaki, mwani na mikoko.
Na mtu ukimaliza haja zako unatawadha na kukoga kabisa. Ukitoka fresh kabisa, twahiir.
Sasa wale Wenzetu wa vichakani? Ni wagonjwa wa daima, kutwa kucha wao kuchimba dawa.
Ukiwa mgeni huko jichunge sana, ukienda nyuma au pembeni ya nyumba zao unayatimba.