TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Mimi nawekeza sana vijijini kujenga nyumba za kupangisha zilizojengwa kwa gharama nafuu ila returns kubwa.Mpe maujanja.
Unavyotaka kujenga unangalia mahtaji ya watu kuhusu nyumba, mtaji unaoingiza hapo, uwezo wa hao watu wanauwezo wa kulipia nyumba bei gan, na ufikiaji wa watu hapo kwako nk. Dodoma nilijenga apartment bure kabisa, yaan thaman sawa na nyumba kama hiyo ukiwekeza karatu ile ya karatu inalipa mara mbili ya dodoma. Nimeiuza nimenunua jengo arusha nalijenga bado cjamalizia washaweka order. Uzur wa kaskazin iko karibu na Nairobi so ukikaa na wenye hotel Nairobi muda wote una wateja hasa Airbnb.Nje ya wapi, Dodoma ambayo ni maumivu,?!Nyumba yenye chumba, Sebule,na jiko laki na Hamsini useme ni maumivu!Wakati Mbeya hiyo hela ni nyumba nzima?
Asee!Kuna mshikaji yangu mmoja tulikuwa nae Dar kibindi fulani alikuwa na hela mingi tu kwenye biashara zake, kwao ni huko huko Mbeya katika moja na mbili akaamua kwenda kujenga kwao na siku anahamia tulialikwa kwa kuwa sikuwa nmewahi kufika mbeya nikasema wacha nihudhurie nikaione Green City
🤣🤣🤣🤣 jamani jamani Mbeya ni kamji fulani hiviii kadogo sana, bajaji kama zote yaani ni fujo, jamaa kajenga sehemu moja Soweto mtaa unaitwa mabuchani kama sijakosea, vibaka kama wote usiku, kama huna usafiri hutembei ikishakuwa saa 4 usiku
Bahati mbaya jamaa biashara zake ziliyumba akauza baadhi ya mali alizokuwanazo ikiwemo na magari yake (alikuwanayo mawili) kabaki na nyumba
Nyumba ya vyumba vitatu, viwili vina vyoo ndani kimoja hakina, sitting kubwa dinning na jiko anapewa laki na nusu kwa mwezi
Bei ya chumba kimoja self hiyo Dodoma, kwakweli Mbeya hapana
Yaan huku hamna kila kituMkuu unalosema linaweza kuwa kweli na hapo inaonyesha yote ni mikoa ya nyanda za juu kusini,unafikiri sababu inaweza kuwa nini? Na afadhari Iringa maisha yapo juu kidogo ila mbeya ndio dah! Nyumba na vyakula bei ipo chini sana
Mkuu KING MIDAS biashara ya nyumba ni biashara kichaa sometimes, nitakupa mfano wa uhalisia ambao nimeushuhudia.Nyumba zinalipa popote ulipo
Kwa kina ChoiceVariable anaporinga nako hukoKuna mshikaji yangu mmoja tulikuwa nae Dar kibindi fulani alikuwa na hela mingi tu kwenye biashara zake, kwao ni huko huko Mbeya katika moja na mbili akaamua kwenda kujenga kwao na siku anahamia tulialikwa kwa kuwa sikuwa nmewahi kufika mbeya nikasema wacha nihudhurie nikaione Green City
🤣🤣🤣🤣 jamani jamani Mbeya ni kamji fulani hiviii kadogo sana, bajaji kama zote yaani ni fujo, jamaa kajenga sehemu moja Soweto mtaa unaitwa mabuchani kama sijakosea, vibaka kama wote usiku, kama huna usafiri hutembei ikishakuwa saa 4 usiku
Bahati mbaya jamaa biashara zake ziliyumba akauza baadhi ya mali alizokuwanazo ikiwemo na magari yake (alikuwanayo mawili) kabaki na nyumba
Nyumba ya vyumba vitatu, viwili vina vyoo ndani kimoja hakina, sitting kubwa dinning na jiko anapewa laki na nusu kwa mwezi
Bei ya chumba kimoja self hiyo Dodoma, kwakweli Mbeya hapana
HongeraMimi nawekeza sana vijijini kujenga nyumba za kupangisha zilizojengwa kwa gharama nafuu ila returns kubwa.
Naenda wilaya mpya najenga vi apartments vya chumba choo jiko, sebule, kikali Bei yake laki tu kwa mwezi.
Pia najenga nyumba za kulala wageni materials natumia zilezile za eneo husika ila finishing nahakikisha inakuwa Kali sana.
Short time 10,000/ saa Moja na nusu. Kulala 15,000 na 20,000/
Mbeya Kila mtu ana hela za kujenga nyumba huko hakuna wavivu so endelea kukuta hivyo hivyo1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Uongealo ni sahii.Mkuu KING MIDAS biashara ya nyumba ni biashara kichaa sometimes, nitakupa mfano wa uhalisia ambao nimeushuhudia.
Kuna mwamba ana nyumba maeneo ya kijitonyama polisi mabatini ina fensi nzuri, parking, geti na nyumba imekuwa finished vizuri na ipo barabarani ya lami anapangisha laki saba kwa mwezi kwa hiyo kwa mwaka anapata kama milioni nane plus ila mwamba anakwambia mpangaji akimaliza mkataba akiondoka analazimika kufanya matengenezo na renovation ya karibu milioni nne hadi tano sababu unakuta milango imeharibika, ukuta umetobolewa, tiles zimevunjia na Kuna wapangaji wachafu inamlazimu kubadilisha vyoo na tiles vyooni. Kwa hiyo biashara ya nyumba ni ngumu wakati mwingine.
Jamaa Sasa hivi ameamua kuweka masharti makali ya mkataba na pia hapangishi mtu mwenye familia kabisa sababu ya uharibifu.
mkuu vipi morogoro?Mbeya,mtu anatoka,Kyela,Rungwe, Busokelo,Ileje nk , kutafuta maisha,wazo lake kichwani kwa Kazi yoyote,ajitoe kwenye kupanga nyumba!Atajenga hata room1.Kwa kuwekeza ujenzi wa nyumba za kupangisha kwa Sasa zaidi .
1: Dodoma.
1😀ar.
3:Arusha.
4:Mwanza.
5: Singida.
Huu ni utafiti wangu tuu!
mambo ya usimamizi inakuwaje huko mawilayani? unakuwa na watu wako au unafanyaje?Mimi nawekeza sana vijijini kujenga nyumba za kupangisha zilizojengwa kwa gharama nafuu ila returns kubwa.
Naenda wilaya mpya najenga vi apartments vya chumba choo jiko, sebule, kikali Bei yake laki tu kwa mwezi.
Pia najenga nyumba za kulala wageni materials natumia zilezile za eneo husika ila finishing nahakikisha inakuwa Kali sana.
Short time 10,000/ saa Moja na nusu. Kulala 15,000 na 20,000/
Hahhahah sasa uone nini ila unafurahisha sana comment zako...
Mbeya hakuna mwenye mawazo ya kuishi nyumba za kupanga.Mkuu unalosema linaweza kuwa kweli na hapo inaonyesha yote ni mikoa ya nyanda za juu kusini,unafikiri sababu inaweza kuwa nini? Na afadhari Iringa maisha yapo juu kidogo ila mbeya ndio dah! Nyumba na vyakula bei ipo chini sana
Ngoja tuwekeze huko tuone ubaya wake...Hahhahah sasa uone nini ila unafurahisha sana comment zako...
Iringa inategemea na sehemu uliyojenga na aina ya nyumba ulizojenga ila biashara ipo sana Iringa.1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Mchawi utamaduni, karibia kila mtu anajenga na wanaopanga ukute ni wageniMkuu unalosema linaweza kuwa kweli na hapo inaonyesha yote ni mikoa ya nyanda za juu kusini,unafikiri sababu inaweza kuwa nini? Na afadhari Iringa maisha yapo juu kidogo ila mbeya ndio dah! Nyumba na vyakula bei ipo chini sana