Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

Ndio kawaida ya mikoani na ukizingatia wageni wengi si wakudumu katika mikoa mingi ya nyanda za juu.

Kitu ambacho nimejifunza kwenye mikoa hiyo ni kwamba, ni heri ujenge lodge kuliko apartment za Kila mwezi.

Lakini pia unapoamua kuchukua maamuzi ya kujenga apartment basi usijenge single room single room na badala yake unaweza ukajenga master bedroom jiko na kisebule au master chumba sebule na kajiko na kuendelea kwa maana watu wengi ambao wanahamia mikoa hiyo huwa hawatafuti chumba ila hutafuta nyumba, hii pia ipo hata Dodoma, ingawa Dodoma uchangamfu wake ni mkubwa kutokana na wageni wengi wa kudumu.

Lakini investment Bora ya mikoa hiyo hasa mbeya ni lodge na unatakiwa u point baadhi ya maeneo, kwasababu ni mikoa ambayo wafanya biashara wa nafaka wanaingia sana na kutoka kwahiyo mzunguko wake unakua stable sana tofauti na nyumba za kupangisha Kila mwezi.
 
Ndio kawaida ya mikoani na ukizingatia wageni wengi si wakudumu katika mikoa mingi ya nyanda za juu.

Kitu ambacho nimejifunza kwenye mikoa hiyo ni kwamba, ni heri ujenge lodge kuliko apartment za Kila mwezi.

Lakini pia unapoamua kuchukua maamuzi ya kujenga apartment basi usijenge single room single room na badala yake unaweza ukajenga master bedroom jiko na kisebule au master chumba sebule na kajiko na kuendelea kwa maana watu wengi ambao wanahamia mikoa hiyo huwa hawatafuti chumba ila hutafuta nyumba, hii pia ipo hata Dodoma, ingawa Dodoma uchangamfu wake ni mkubwa kutokana na wageni wengi wa kudumu.

Lakini investment Bora ya mikoa hiyo hasa mbeya ni lodge na unatakiwa u point baadhi ya maeneo, kwasababu ni mikoa ambayo wafanya biashara wa nataka wanaingia sana na kutoka kwahiyo mzunguko wake unakua stable sana tofauti na nyumba za kupangisha Kila mwezi.
 
Ndiyo kama kipindi hiki cha mavuno wafanya biashara wanaingia Sana.
 
Mkuu unalosema linaweza kuwa kweli na hapo inaonyesha yote ni mikoa ya nyanda za juu kusini,unafikiri sababu inaweza kuwa nini? Na afadhari Iringa maisha yapo juu kidogo ila mbeya ndio dah! Nyumba na vyakula bei ipo chini sana
Watu Wana hela hawategei vigodoro na Kwa taarifa Yako tuu ni Mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini Kila mtu ana nyumba yake.

Mtoa mada karibu Mikoa mingine inayoongoza Kwa mabanda hii hapa Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza
 
Mbeya,Iringa, Lindi,shinyanga,Kagera, Tabora,singida, musoma, Tanga
 
Mjini kati utapata wateja ila sio Nje ya Mji,utakaa mwenyewe
 
Naendelea kusoma comments na kujifunza mengi hapa
 
Heri ya Kahama MC watafutaji kila siku wanahamia mji ule.
 
Sasa unataka real estate Mbeya iwe biashara ya kishenzi kama ilivyo Dar na miji mingine ya kipumbavu hapa TANZANIA ,mavichwa panzi yasiyo na elimu yanajiita madalali wanapandisha bei tu kishenzi na vyumba vyenyewe takataka ,mabanda ya kuku ndio mnapangisha watu waishi , na hapo unakuta fala limekaza uso linasema chumba laki moja ila ukiona hicho chumba cha laki sasa ,utatamani utapike , ReaL estate business Bongo inafanywa na vilaza watupu na majitu yasiyo na elimu wala exposure.
We angalia tu standards ya nyumba au vyumba wanavyoishi watu Dar , ni uozo mtupu , asilimia 60 hazifai kuishi watu
Takataka kabisa
 
Kwetu Kila mtu ana nyumbu,huku hakuna mafukara wanaoishi kwenye mabanda kama huko kwenu.

Jenga lodge au Hoteli na sio nyumba za kupangisha
Mbeya ,Songwe na katavi ni moja kati ya sehemu bora kabisa kuishi Tanzania hii ,loving Costs ni low mno .
Si kama maeneo mengineyo ya kipuuzi ambapo inflation ni ya kipuuzi tu ,
 
Huko wamejaa wenye njaa hawana pesa za kujenga.

Yaani mtu analima viazi ekari 5 anapata mil.50-65 Kwa nini apange?
Mkuu sehemu yoyote wapangaji wanakua wageni wa kuja ila mzawa kupanga ni ngumu kwasababu vijana wanakua na Aridhi kwahiyo kujenga chumba kimoja akaishi na mke inakua rahisi. Na sehemu yoyote kama hakuna miradi ya ki uchumi ni ngumu kuwepo na wapangaji.
 
Acha kuchekesha, miradi ya kiuchumi ndio miradi gani?

Kwamba mtu anapata wapi hela za kujenga kama hakuna miradi ya kiuchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…