Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

Nyumba Mbeya ni biashara nzuri tu , sijui jamaa katoa wapi hizi details zake. Hapo bloct kwa machemba kuna apartments zaidi ya 30 ndani ya eneo moja ni chumba sebule na jiko na 250k per month na zipo full muda wote.
 
Yes point makini miradi ifate watu na sio watu waifate miradi
 
Mbona hukumalizia na majibu yenye utafiti ? UNAHISI SABABU NI NINI ?
 
Kwa upande wa Mpanda mkoa wa Katavi nyumba ni za shida sana, na kila nyumba mpya inayojengwa inachangamkiwa haraka. Hivyo sio kweli kuwa Katavi biashara ya nyumba hailipi
 
Nyumba Mbeya ni biashara nzuri tu , sijui jamaa katoa wapi hizi details zake. Hapo bloct kwa machemba kuna apartments zaidi ya 30 ndani ya eneo moja ni chumba sebule na jiko na 250k per month na zipo full muda wote.
Nimemshangaa wakati natafuta hela ninunue sehemu hata kule Isyesye kwa mtawa kwa zamani unajenga za kawaida kama za machemba upate pesa watu wamejenga Uyole huko na wanajaza wageni kwa usd sijui huwa wanaandika uongo ili iweje hawa watu..
 
Huwa wanajitungia tu, ameshindwa hata kupita kwenye page za madalali wa nyumba na viwanja insta ili apate mawili matatu kabla ya kupotosha hapa. Nyumba za kupanga mbeya ni ghali sana, anzia huko veta, block t, isyesye, sai, ilomba, iwambi kote huko ni bei. Labda Igawilo ndo utapata za mtelemko
 
Nimemshangaa wakati natafuta hela ninunue sehemu hata kule Isyesye kwa mtawa kwa zamani unajenga za kawaida kama za machemba upate pesa watu wamejenga Uyole huko na wanajaza wageni kwa usd sijui huwa wanaandika uongo ili iweje hawa watu..
Jamaa kaongea kitu ambacho hakina uhalisia
 
Attachments

  • Screenshot_20250512_193430_Instagram.jpg
    165 KB · Views: 33
Kuna Daktari Yuko huko kwa Mafunzo kwa vitendo,kupata nyumba ya kupanga self just two bed room ameambiwa laki tatu,na huko ni home town na hizi kampeni za Kijiji kikubwa wala hazijaanz leo kila mtu ashinde mechi zake.
 
Hizo nyumba mnazosema ni bei Mbeya ni zile ambazo zipo mitaa tulivu au yakishua,sasa chukua nyumba ya chumba sebule iliyopo isyesye Mbeya,kalinganishe na nyumba kama hiyo sehem kama njiro Arusha,masaki dar etc,ndio utaelewa kuwa Mbeya nyumba ni bei chee
 
Dar
Dar kubwa mkuu, kwani bei ya nyumba yenye ukubwa sawa kwa kimara inafanana na sinza?
 
Mtu anaekaa tukuyu, ana uwezo wa kutoka kwake kila siku kwenda town na kurudi jioni.

Bei za vyumba na nyumba Mbeya ziko chini mno tofauti na maeneo mengi ya dar.

Ukitaka kuwekeza mahali, fanya tafiti kwa kina. Kila pahala kuna mifumo yake.
 
Dar

Dar kubwa mkuu, kwani bei ya nyumba yenye ukubwa sawa kwa kimara inafanana na sinza?
Mkuu namaanisha status ya eneo husika,nyumba zinaweza kuwa sawa ila location zilipo zikafanya bei iwe tofaut
 
Pia kitu kingine ninachohisi kinapelekea hili ni uwiano wa maisha kati ya mbeya jijini na wilaya zake,namaanisha mkoa wa Mbeya wilaya zake zina uchumi pia hivyo wakazi wa wilayani hawaendi kujazana jijini, kwaiyo uhitaji wa nyumba hapo mjini unakuwa mdogo,mfano maisha ya watu wa chunya,Kyela,mbarali n.k kiuchumi yanafanana tu na wakazi wa Mbeya, kwaiyo hakuna wanapokimbilia,ila wilaya ya chunya Ina wageni wengi sana hasa wa Kanda ya ziwa kwaiyo uhitaji mkubwa umefanya nyumba ziwe bei sana ikichangiwa na upatikanaji mwepesi wa hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…