Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.
Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.