Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Mungu anisamehe....ila SAFI SANA.
 
Watu wa dar akili hamna! Yaan hasira zote wanamalizia Kwa kichaa wakati Kuna watu wazima huko mnasikia wanaua mpaka wenzenu huyu kavunja kioo tu ndo mnamalizia hasira??
 
Huyu "kichaa" sio yule mwamba alikiwa anakuwepo sana mitaa hiyo ya Mikocheni kuanzia Rose Garden hadi kwa Mwalimu? Kuna wakati alikuwa pia ankaa mitaa ya Sinza Mori hadi Afrika Sana?
 
Nadhani wamefanya sawa kabisa.
Haiwezekani wadhuru watu, wengine wanajitoa ufahamu.
Hiyo ndo dawa
Nimeelewa kwamba huyo ni mlemavu wa akili yaani kichaa, mtu ambaye mwezi mchanga ukitoka akili inafyatuka. Wangeweza kumdhibiti hata kwa kipigo miguuni alegee na baadae apelekwe wodi za vichaa. Anyway ndiyo jamii tuliyonayo kwa sasa kwenye Bus wakati dereva anasulubiwa na kuuwawa wote wako kimyaa wanachukua clips za video. Ila kwa mgonjwa wa akili fasta wamemtanguliza ahera.
 
Hao wanaojifanya vichaa wanatakiwa wajibiwe kichaa zaidi
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Nchi yetu inanuka damu kwa sasa. Huko geita watu wawili waripotiwa kufa baada ya kuvamia kituo cha polisi. Siku hz haipiti siku 3 bila kusikia tukio la kinyama. Mungu anaona na atainusuru nchi yetu. Watawala wajitafakari. Hizi ni ishara mbaya
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Ukichunguza kwa umakini utagundua hao wananchi wote pia wana ulemavu wa akili pia
 
Mji wa daressalam maisha ni magumu sijawahi kuona, watu wenye stree za maisha ni wengi sana
Za kujitakia! Dar hii iliyojaa fursa ni kwa vile vijana wengi hawataki kujituma! Wanasubiri ajira za serikali wabunge tai!
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
HIZI ZIWE SALAMU KWA WASIOJULIKANA.

WAANZE KUTEMBEZEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU
 
IMG-20240911-WA0132.jpg
 
Back
Top Bottom