Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

YEs hata sheria inatambua hivyo huwezi kumlaumu au kumhukumu mtu ambaye kichaa, anatakiwa apelekwe hospitali akatibiwe, huyo aliyejeruhiwa ni bahati mbaya ,ila hakuna remedy kwa kichaa
Sheria Gani wewe unaleta mambo ya sheria kwenye uhai hao walioweka sheria ni binadamu tu wanaweza nao kuwa ni machizi tu unaleta mambo ya sheria watu kama nyie hamjielewi tumia akili
 
Chizi anayo haki yakuishi kwakua hali ya uchizi inaweza kumpata yoyote yule.
Chizi kwakifupi nitatizo ya Afya ya akili.unaweza kupata tatizo hilo dakika yoyote ile.
Niwajibu mkubwa wa serikali kutambua makundi haya kuanzia kila kona yamtaa.
Watunzwe na wapatiwe matibabu ipasavyo ili waludi kuendelea namajukumu yamaisha na kuijenga nchi kwaujumla.
 
Sheria Gani wewe unaleta mambo ya sheria kwenye uhai hao walioweka sheria ni binadamu tu wanaweza nao kuwa ni machizi tumia akili
Ukichaa unaweza kumpata mtunyoyote na humfanya mtu afanye vitu ambavyo asingeweza kufanya kama aangekuwa timamu, ni kama mgonjwa kutoka na haja utamlaumu? Ipo nje ya uwezo wake wa self control
Hao waliotunga sheria sio vichaa , hizi sheria unazoziona zimekuwa zikifanyiwa development na kubadilishwa ili kuendanaa na mazingira, usidhani kwamba watu walikuruouka tu wakatunga hizi sheria
Hasira zako peleka sehemu nyingine siyo kuhukumu watu ambao hawastahili adhabu bali msaada
 
Back
Top Bottom