Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

Ukichaa unaweza kumpata mtunyoyote na humfanya mtu afanye vitu ambavyo asingeweza kufanya kama aangekuwa timamu, ni kama mgonjwa kutoka na haja utamlaumu? Ipo nje ya uwezo wake wa self control
Hao waliotunga sheria sio vichaa , hizi sheria unazoziona zimekuwa zikifanyiwa development na kubadilishwa ili kuendanaa na mazingira, usidhani kwamba watu walikuruouka tu wakatunga hizi sheria
Hasira zako peleka sehemu nyingine siyo kuhukumu watu ambao hawastahili adhabu bali msaada
Kichapo lazima ale habari za uchizi anazijua yeye mwenyewe Kila mtu duniani kaja kivyake hivyo ukiua lazima ufe wewe jifanye chizi uue halafu uone raia wanavyokuvaa Sheria hizo peleka chumbani ukiwa na mkeo Bora kichaa afe ila sio mtu mwenye akili timamu anaelipa Kodi na kulitumikia taifa
 
Aise! Naona hasira za watanzania zinaishia kwa Vichaa badala ya kuzimalizia kwa watekaji na wauaji!
Huyo alikuwa wa kukamata na kufunga kamba then anapelekwa Muhimbili au hospitali ya karibu.
Hao ndiyo watz walivyo, usione watu wako kimya siku likitokea
Mbona watu watafanyiana sana

Ova
 
JItahidi sana kumuomba mungu wako na kiomber kizazi chako haya unayosema yasije kukurudia
Uchizi upo ila ukishaua inabidi na wewe ufe huna haki ya kubaki duniani full stop halafu Kila binadamu ni chizi ila tunazidiana ukitaka uamini Kaa ndani peke yako asubuhi mpaka usiku Kwa wiki 1 lazima Kuna vituko utafanya ikiwemo hata kutembea uchi ukiwa ndani au Kaa peke yako mda mrefu lazima utaanza kuongea mwenyewe hivyo hata wewe pia ni chizi
 
Kuna siku nilitandikwa fimbo ya kichwa na mtu alesemwa kuwa chizi nilisimamisha pkpk nikamfata kuna mtu akaja kunizuia nilimpa ndoo (kichwa) nikamshika yule chizi nilimchafua na rangi nyekundu nikajisepea zangu nyambaaaf, kwangu mimi kichaa ni yule anayekula MAGOGO lakini amepiga watu
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyothimilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hiko kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Watu wa dar tuna ugonjwa wa akili kuliko hata walioko mirembe. Halafu tunajionaga tumemaliza dunia yote yaani tunajua kila kitu.
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyothimilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hiko kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Wasiojulikana pia siku wakipatikana.......
 
Hivi si kuna Polisi Kawe na Oysterbay, wangeweza kupewa taarifa mapema. Alipoanza kushambulia watu na kuvunja vioo. Kabla madhara hayo makubwa kutokea.

Funzo kwa viongozi, msipoziba ufa mtajenga ukuta. Watu wakichoka wanafanya kile wanachoona ni suluhisho la haraka kwao. Alale mahala pema, anapumzika na ya dunia.
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyothimilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hiko kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Kwahiyo huyo dereva baada ya kuona wananchi wanajichukulia sheria mkononi na wao wakabaki kushiriki mauaji?
 
Kichaa hana kesi ata akikuua ila we kesi unayo ukimuua, kichaa hana shida na watu kama si mkorofi watu hawana tatizi nae ila akishaanza kuleta za kuleta no way tunakuwaisha ukapumzike tu
 
Kama kawaida yetu kuwa reactive na kutokuwa proactive, Saga lote hili lingeondolewa na wanaolipwa na kodi zetu kuwakusanya hawa watu na kuwapeleka sehemu husika kabla hawajafanya harm.

Haya tusubiri wengine wapige wengine, irresponsible country at its best.
 
Back
Top Bottom