Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

Hakuna watu huwa nawaogopaga kama hao sitosahau miaka ya nyuma pale maeneo ya Kilombero Arusha niliwahi zabwa kibao na mama mmoja ambaye naye alikuwa na tatizo la akili kisha huyo akaendelea zake na safari.

Tangia hapo ikitokea nakutana na mtu wa aina hiyo mbele yangu niko radhi nivuke barabara upande wa pili nimpishe kisha baadae nitarudi sababu hawaeleweki kabisa.
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Jamii bado inashida kubwa kushughulika na watu wenye changamoto ya afya ya akili, najiuliza kama wamepata muda kujua huyo analotatizo la afya ya akili wanashindwa kumdhibiti mapema na kumfikisha sehemu husika?

Wizara ya Afya Tanzania wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Tokeni Ofisini elemisheni wananchi. Wengi hata kwenye familia afya ya akili ni tatizo ndio maana kila uchwao tunasikia watu wamechinjana ndani au kujiua. Tokeni ofisini elimisheni jamii.. 🙏🙏🙏
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
atakuwa alivuta SKANKA!!!!
 
Watu wa buza wanamatatizo sana.yaani magonjwa wa akili unampigia Hadi kifo! Watu wa buza wamekaa kibuza buza kabisa
 
Mji wa daressalam maisha ni magumu sijawahi kuona, watu wenye stree za maisha ni wengi sana

1726127100685.png
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Huo ujasiri na uthubutu wangeuhamishia kwa atu fulani, au wangeutumia kwenye kulunda Katiba, Sheria na uwajibikaji, ningewaona watu wa maana sana.
Ukiona jinsi wanavyoshambuliana, huwezi ukaamini kwamba ndiyo hawa wenyewe nchi yao inachezewa hadi makalio. Huwezi kuamini ndiyo hawa nchi yao inaibiwa, au ndiyo hawa wanaouawa na vyombo vya usalama na kupotezwa kwa kadili wataoavyo.
 
Kuna siku hapo Kariakoo mbele yangu nlimuona jamaa anakuja ana bonge la panga halafu kama anaongea peke yake vile. Basi nikaapply mbinu za Wanaume wa Dar nikaswitch upande huku nikihakikisha distance ni mita nyingi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukijifanya shujaa anakushushia la kichwa
 
Kuna mmoja Mwanza maeneo ya buzuruga stand mpaka njia mpya ya kwenda Airport kupitia Nyasaka anatabia ya kusimama katikati ya barabara na kuanza kupiga kila kinachopita na Rungu, huyu anachokitafuta atakipata nae.
 
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.

Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Aisee .

Wangemfunga kamba tu, wangemchalaza bakora kidogo kisha kumpeleka polisi, wao wangejua zaidi namna ya kumdhibiti.
 
Kuna mmoja Mwanza maeneo ya buzuruga stand mpaka njia mpya ya kwenda Airport kupitia Nyasaka anatabia ya kusimama katikati ya barabara na kuanza kupiga kila kinachopita na Rungu, huyu anachokitafuta atakipata nae.
Kuna mmoja mng'oa site mirror maeneo ya Morocco.
Sijui kama bado yupo
 
Back
Top Bottom