Masaunino angepigwa hakika tungefarijika sana WatanzaniaHii ingetokea na kule mahaba city ingekua poa
Mob justiceLeo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyothimilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hiko kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.
Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Sio mlemavu wa akili na Wewe ukijisikia kufakufa fanya km hivyo fasta tu yaan watu wanakurahisishia kaziPolisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.
Stress yenyewe inatokana na Umasikini,Stress ni kitu kibaya sana hasa kikichanganyikana na umasikini.
Sasa si unaona yaani jitu linachukua advantage ya uchizi kuua watu hiyo haiwezi kuvumilika Kila mtu anahaki ya kuishiKariakoo niliwahi kushuudia kichaa akichoma mtu kisu,na alimuua...
Inamaana Leo Israel aliwatembelea abiria wote katka vichwa vyao mbn matukio kama haya hua yanatokea na watu hupota zao nakuondoka ata kama wanagasiwa na kichaa hii imewezekanaje kwao kulihitimisha strees na masononeko katika mioyo kulingana na matukio imepelekea Hali hii kua mbaya mwendelezo.wa hili cjui utakuajeLeo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyothimilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hiko kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la Buza-Kawe na kuvunja vioo, pia inasemwa mapema alimshambulia dereva bodaboda aliyetoka damu nyingi na kukimbia kisha kutaka kumrudia abiria wa kike aliyempakiza.
Polisi walifika kuchukua mwili na kuondoka nalo kituoni daladala husika likiwa na dereva na kondakta wake huku abiria kila mmoja akichukua njia yake baada ya tukio.