Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Sijui ni nani kati ya Le Mutuz ama mzazi wake wenye hasara zaidi. Maana kuwa mfano wa kila baya la kufeli kimaisha hasa kwa umri alionao Le Mutuz (50+) si jambo zuri kabisa.Wengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!
ILA hao unaowaona wanapata ni Kwa sababu Muda wao kwenye majungu na kulalamika ni Mdogo sana
Sio kama mimi na wewe kutwa kulalama tu
HahahahaaaSijui ni nani kati ya Le Mutuz ama mzazi wake wenye hasara zaidi. Maana kuwa mfano wa kila baya hasa kwa umri alionao Le Mutuz (50+) si jambo zuri kabisa.
maisha yanasikitisha,jamaa kafa akiwa na maisha ambayo wengi wetu tunayatamani !!!daah, kazi nzuri mshahara mtaamuu
anyway RIP kamanda
nikweli walishafanikiwa kutoka kwenye lile duara la umaskini hawawazi tena usawa katika chakula, mavazi na malazi wako mbali sana na kwakuwa tuliwawezesha wazazi wao na wao wakawezeshwa! sasa unategemea nini kama mzazi wako ni dereva wa bodaboda ukichomoka sana utaishia ukurugenzi wa taasisi na wakati huo una ndugu kibao wanataka uwavute.Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
mkuu,le Baharia kaenda Ulaya kwa pesa yake sio ya mzazi hivo basi hakupelekwa, jamaa kapambana sana yuleWengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!
ILA hao unaowaona wanapata ni Kwa sababu Muda wao kwenye majungu na kulalamika ni Mdogo sana
Sio kama mimi na wewe kutwa kulalama tu
Umasikini sio laana ni hali ya kimaisha.....umasikini haukupi roho mbaya bali ni utashi wako.....tunaishi na kupata kwa kudra za Mungu.......Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Tena nje ya nchi!Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Kweli kabisa. Most of them are very intelligent! Nimesoma nao.Acha uongo yani uwe na uwezo mdogo alafu ufanye kazi kwenye taasisi kubwa nje?
Nimeendelea kukubaliana nawe, japo, japo fursa za watoto wa wakulima ni kama hazipo japo akili wanazoNi kweli kabisa mkuu umasikini ni kitu kibaya sana, unaweza kumchukia mtu kisa ana kitu ambacho huna uwezo wa kuwa nacho. Tupambane sana kutoka kwenye umasikini wa kipato.
Yanakuwa yaleyale ya sizitaki mbichi hiziMwisho wa siku unaishia kusema "si atakufa ataviacha tuu" 😂😂😂😂😂😂
ndiomaana lile lijamaa la kule kitovuni likaja na maroho yake ya ajabu na kuonea wenye maisha mazuri , hatimaye Mungu akaingilia katiUmasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Mkuu, "umasikini ni uchawi kamili". Trust me.Umasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Hata chato tu haKitambuliki sembuse ulayaKiingereza tu ni kipengele kinachotosha kumtoa mtu kwenye reli . Kikiongezwa Kifaransa ndio kabisaa.
Utawasikia wenyewe wanakuambia Kiswahili ni lugha adhimu,inatambuliwa kimataifa.
Endelea kulishwa Matengo porimkuu,le Baharia kaenda Ulaya kwa pesa yake sio ya mzazi hivo basi hakupelekwa, jamaa kapambana sana yule
mimi binafsi namkubali kwa hilo,hakutumia pesa ya baba yake wakati yupo kijana