TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
 
Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] unaishi wapi bibie? Ye makazi yalikua Switzerland kama upo huko bahati yako mbaya ila kama upo bongo pambana na sisi sisi wavimba macho.

Sisi ndo tupo [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
Mbele za Mungu hakuna u-handsome Careen,inategemea tu kama ulimpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Otherwise it will be time wasted here on earth.😂😂😂😂😂😂😂.
Be wise,don't waste time, prepare for eternal life.
 
Apumzike kwa Amani Mikola Mahiga
 
una akili sana mkuu.....hata wa toto maskini hawanaga akili
Mtu kapambana kivyake...kapata kivyake siyo baba yake.tena hao ndo baba zao wanakuwaga wanoko kweli...ole wako baba huyo akukute mezani unakula mbwa hawajala..utamjua.....vibarua wa mafundi kwa nyumba zake ni watoto wake ukirudi shule unapitiliza kwa mafundi hkn cha weekend ni msoto tuuuu!! Kwa nini usisome?? Uepuke adha hiyo???
Watoto wa maskini wana raha sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…