Mkuu macho yamevimba unaumwa?[emoji2960][emoji2960][emoji2960] unaishi wapi bibie? Ye makazi yalikua Switzerland kama upo huko bahati yako mbaya ila kama upo bongo pambana na sisi sisi wavimba macho.
Sisi ndo tupo [emoji41][emoji41][emoji41]
Aah wap ningetulia tu niwe najilia muhogo wangu taratiibu kila siku na kumzalia watoto mahandsome kama yeyeukute ungekutana nae ungemzingua !!! wanawake hamtabiriki
Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Ukiendekeza hivyo utazidi kuukaribisha umasikini nyumbani kwako, achia hizo mambo akilini, furahia maisha na furahia mafanikio ya wengine nawe utafanikiwa.Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Hiyo ndiyo bahat mbaya yangu yaan nipo hapahapa bongo tena mamzese dah![emoji2960][emoji2960][emoji2960] unaishi wapi bibie? Ye makazi yalikua Switzerland kama upo huko bahati yako mbaya ila kama upo bongo pambana na sisi sisi wavimba macho.
Sisi ndo tupo [emoji41][emoji41][emoji41]
Kuna mmoja alipiga O form 4 leo hii yupo kwenye ubalozi wetu Germany anazugazuga tu kwenye kompyuta.Umefanya tu makusudi kuto kunielewa, au ni bahati mbaya! Wapi nimetaja nje? Mimi nimeongelea kwa ujumla wake! Wapo watoto wa vigogo wengi tu wenye ufaulu wa kawaida, lakini wapo kwenye vitengo nyeti!
Ipo mihogo inaxakata Sana utasahau ma handsomeTatizo mahandsome adimu sana yaan
Wavimba macho ni wahangaikaji tunaweza kuwa mahendsamu ila kwakuwa muda wote tumechafuka so hata hatujijui😎😎Mkuu macho yamevimba unaumwa?
Njoo tupasue mawe na kokoto huku Maji moto Mkuu...! Kama utahimili!Kazi mbaya ipi?
Hakuna huruma Careen kule,you received Jesus Christ,you are for Christ,you did not, you are for eternal hell.Mungu ni Mtakatifu mno,he does not entertain sin.Aliyechukua dhambi zetu msalabani ni Bwana Yesu,sasa kama umemkataa,ina maana umebaki na dhambi zako,sasa kama umebaki na dhambi zako,how does God entertain you,no way,because God does not entertain sin.Mi namuombea tu huruma ya Mungu
Hakuna kazi mbaya, kinachotafutwa ni usawa tu, ila objectively hakuna ubaya katika kazi. Umejuaje kama hiyo ni mbaya bila kulinganisha na zingine? Ni kujaribu kuwa sawa ndio kunawapa shida.Njoo tupasue mawe na kokoto huku Maji moto Mkuu...! Kama utahimili!
Mie ugonjwa wangu ni handsome kuchakata tutafundishana tuIpo mihogo inaxakata Sana utasahau ma handsome
Ukiwa handasome utajijua tu hata kama unavaa guniaWavimba macho ni wahangaikaji tunaweza kuwa mahendsamu ila kwakuwa muda wote tumechafuka so hata hatujijui😎😎
Wanakujua wanaokutazamaUkiwa handasome utajijua tu hata kama unavaa gunia
Ameen! Mungu ni mwema na mwenye huruma!Hakuna huruma Careen kule,you received Jesus Christ,you are for Christ,you did not you are for eternal hell.Mungu ni Mtakatifu mno,he does not entertain sin.Aliyechukua dhambi zetu msalabani ni Bwana Yesu,sasa kama umemkataa,ina maana umebaki na dhambi zako,sasa kama umebaki na dhambi zako,how does God entertain you,no way.
Na wewe kama hujampokea Bwana Yesu receive Him today,so that you can be assured of Eternal Life.Careen muda umeenda sana,we do not have much time,so the sooner the better.
uns roho nzuri sana wewe dada njoo huku south nikuunganisheDah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
[emoji2] kuna bahat na kuna juhudi pia!!Kuna mmoja alipiga O form 4 leo hii yupo kwenye ubalozi wetu Germany anazugazuga tu kwenye kompyuta.
Ndo wanakuambia piaWanakujua wanaokutazama