Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

Riba wanazo ila hazifanani na za mabenki ya kibiashara.Mkopo wa benki ukipewa mil10 kwa miaka 5 utaambiwa unarudisha mil 18 plus huko,wakati mkopo huo huo kwa saccos utarejesha mil13 Tafuta saccos iliyo strong ukiwa na vigezo unapewa mzigo
Sizijui saccos mkuu nitajie moja nitafute
 
Niunganishe icho kikoba kaka
 
Hamkivunji?
 
Hongereni, kimsingi VICOBA sio vibaya na soma concept ya VICOBA na jinsi ilivyoanzishwa na kuendelea watu wa India ni vizuri sana. Changamoto kubwa ni tamaa za wana vicoba waswahili.
 
Hongereni, kimsingi VICOBA sio vibaya na soma concept ya VICOBA na jinsi ilivyoanzishwa na kuendelea watu wa India ni vizuri sana. Changamoto kubwa ni tamaa za wana vicoba waswahili.
Kwakweli swala la kikundi likimixiwa uswahili mambo yanakua ovyo, niliwakuta wapo zao strict kabisa na hadi leo ni hivo, hakuna mbambamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…