Mnapataje faida? Au hizo 3yrs ukivunja unavunja na hisa zako hizo hizo ulizoweka?Sisi mbona hakina riba jamani, yani unakopa m 1 unarudisha m 1 unakopa m10 unarudisha m10 kamiliii.
Hapana.Hicho kikoba ni cha matajiri
Ndio wako kama hivyo walivyosema. Ni kama Hawa mikopo ya mitandaoni ambao wana riba zilizojificha.Riba yao huwa ipo kinamna namna yani ni chungwa limepakwa rangi nyekundu juu afu likaitwa apple.
Acha janjajanja weka hela upate hela, hawataki watu ambao watakimbia na hela, utaratibu wa VICOBA ninauelewa sanaKununua hisa Ili uwe mwanachama ni sawa ugomvi wangu upo kwenye kuweka akiba kubwa Ili upate mkopo mkubwa.
Kwa style hiyo saccos huwezi pata hela ya maana. Unapata vihela vya kubadilisha mboga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Riba ya 0 % labda ukopeshwe na mjomba wakoHiyo ndo nzuri
Uwe unasoma vizuri. WANA RIBA NAFUUUserious SACCOS hawana riba??mi nadhanigi huko ndo balaa
Acha uvivu, uliza watu hapo unapoishi. Sheria za SACCOS ni uweke pesa ndo ukope pesa!Sizijui saccos mkuu nitajie moja nitafute
Hyo ni dhamana piaUsenge wa saccos ni kukopa mpaka ununue hisa na uweke akiba na kukupeshwa hela haizidi mara tatu ya akiba uliyoiweka.
Mfano Ili nikope 3M ni lazima niwe na akiba isiyopungua 1M....huu ni utopolo aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaOnly SACCOSS
Sidhani kama kuna lingine…
Duh!!Depends na sacoss. Yetu ni chini ya 10 ila ni ya ndani ya ofisi, hawaruhusu wa nje
SafiiiiiNasemea kwa kikoba cha 3 yrs kufika 30m ni sawa.
Mf mm from january to date naweza chukua mpk 7m. Na hapo ni nusu mwaka
Mnapataje faida? Au hizo 3yrs ukivunja unavunja na hisa zako hizo hizo ulizoweka?
Pesa mnaipandishaje thamani?
hiyo sheria itanishindaAcha uvivu, uliza watu hapo unapoishi. Sheria za SACCOS ni uweke pesa ndo ukope pesa!
Kwanini ikushinde? Au una tabia za utapeli? Ukope usirudishe??hiyo sheria itanishinda
mi nimeelewa naomba unipe no nijiunge huko ndo kwenyeweKwanza lengo kusaidiana sio kupata faida.
Pili mapato hutokana na fines tu za vikao na faini 10% ya kuchelewesha hisa na marejesho.
Faida kwa wanachama ni mikopo isio na riba, savings ila pia kuna 10% amana ambayo utaipata mwisho baada ya kumaliza marejesho (amana huwa atutoi unapoomba mkopo). Ni hivi tu.
Bila shaka umeelewa
nilielewa mkuuUwe unasoma vizuri. WANA RIBA NAFUUU
Hamna anaetaka riba ya 0%Riba ya 0 % labda ukopeshwe na mjomba wako
Riba iliyojificha inakuje hawakwambiii ni kiasi gan au % ngapNdio wako kama hivyo walivyosema. Ni kama Hawa mikopo ya mitandaoni ambao wana riba zilizojificha.
Mi nakopa kwa riba ya 0% na wanaonikopesha wala sio wajomba zangu 😹Riba ya 0 % labda ukopeshwe na mjomba wako