Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe sababu za kuridhisha coz nataka kamkopoKopeni CRDB hamtojuta kamwe.
Barclays ni nzuri, inakopesha kwa 18% mpaka 22%. Inatoa mkopo kuanzia 1,000,000/= hadi 80,000,000/= muda wake ni kuanzia miezi 12 mpaka 60.
Nenda barclays.
Hakuna kitu kama hicho.Mkuu ongea na walimu vizuri afu Ndo uwambie wakakope Barclays Bank au siku masharti Yao wamelegeza? Yale chin ya balance 5kilos account inafungiwa.
Okay. Kwa Degree holder mpya kazini mwenye salary ya 700,000/=anaweza kukopa mpaka Tsh Milion ngap kiasi cha Juu au mwisho Kabisa?Hakuna kitu kama hicho.
Ni kweli, aongee na sisi vizur tutakopa san hukoMkuu ongea na walimu vizuri afu Ndo uwambie wakakope Barclays Bank au siku masharti Yao wamelegeza? Yale chin ya balance 5kilos account inafungiwa.
AC
ACHA UONGO. SALARY SLIP ZA MIEZI SITA NA SIO MITATU KAMA ULIVOAINISHA HAPO JUU
Pole sana.Hawa jamaa ni wezi msithubutu kukopa mie mpaka sasa najuta kuwafahamu. Mnasaini mkataba ukitoka wanafuta na collection fluid, Wana badilisha pia unajaza mkataba wa miaka 5 ukija chukua mkataba unakuta imejazwa miaka 6, wanaanza sound subir miez 6 iishe ufanye top up turekebishe ni wezi tena zaid ya wezi kenge nyie.
Hyo processing fee Ni ya nnWakuu baada ya kufanya utafiti kidogo na kuongea na ma afisa mikopo wa hizi benki mbili nimefikia hitimisho CRDB ni bora labda sijajua kuhusu malalamiko ya kuchelewesha kuweka mkopo. Nmb wanaweka fasta ila wizi wao umekubuhu yani eti mkopo wa 10,700,000 wananipa 10,138,250 nyingne wanakata kama processing fee na bima.
hapo kwenye wakukute cjakuelewa mkuucrdb inatoa mikopo mikubwa ila wana process ndefu hadi wakupatie.nmb wanamikopo midogo ila wanakupa ndani ya muda mfupi sana unaweza ukaanza process ndani ya siku tatu ukachukua mkopo. ukitaka mikopo yenye hela ndefu nenda EQUITY wanaweza kukupa hadi mil20 wanabranch yao mwenge na bagamoyo ila sijajua kwa mikoani.pia ukitaka kukopa inashauriwa nenda kakope mwezi wa sita maana benki nyingi huongeza viwango vya kukopesha.pia kama unataka kukopa bila riba unaweza kwenda kukopa PBZ ipo mtaa wa lumumba,karibu na ofisi ndogo ya ccm hapa dar es salaam,wanatoa mikopo mizuri hata kama mshahara wako unapitia kwenye benki nyingine ila wao hutaka wakukute kwanza kwa miezi mitatu ndo wakukopeshe unachotaka ukopeshwe.
Gharama ya wao kushughulikia hilo ombi lako la mkopoHyo processing fee Ni ya nn
Duu Ni Noma Sana hiiGharama ya wao kushughulikia hilo ombi lako la mkopo
Kwa watumishi mkopo wa mwisho ni miaka 5., yaan miezi 60CRDB wanaweza kopesha miaka 6?
Kwa watumishi mkopo wa mwisho ni miaka 5., yaan miezi 60
nilienda kuuliza bank mbili juzi. nikaanza na crdb wakaniambia kwa salari yangu maximum watanipa 11,300,000 kwa miaka 6 na watanikata 257,000. nikaenda nmb wakaniambia maximum watanipa 9,500,000 na watanikata 251,000. Kimsingi hakuna tofauti za riba
nilienda kuuliza bank mbili juzi. nikaanza na crdb wakaniambia kwa salari yangu maximum watanipa 11,300,000 kwa miaka 6 na watanikata 257,000. nikaenda nmb wakaniambia maximum watanipa 9,500,000 na watanikata 251,000. Kimsingi hakuna tofauti za riba
na CRDB BANK pia
Mikopo mizuri ya wafanyakazi ipo Benki ya Posta.
pia kuna mikopo kama:
- YA VIKUNDI, just cha watu 5-10
-SACCOS
-VICOBA
-WASTAAFU wa PSPF,PPF,NSSF,GEPF,LAPF
-WAFANYAKAZI
-YA ELIMU KWA WANAOCHANGIA PSPF na GEPF
-YA KUANZA MAISHA KWA WANAOCHANGIA PSPF NA GEPF
-BIASHARA KUBWA
-BIASHARA NDOGO NDOGO
Pia,
mikopo ya wafanyakazi inatolewa hadi miaka 6 na kwa wastaafu hadi miaka 4
Riba zao ziko chini sana yaani wafanyakazi ni 13 kwa waajiri wazuri na 15 kwa waajiri wanaochelewesha makato.
Tembelea tawi la Benki ya Posta lililoko karibu kuthibitisha haya.
Ina maana unalipa riba ya 3,420,000/= yaani karibia asilimia 100 ya mkopo. Duh...!!! hauwezi kuwa mkopo huo.Mi Nina mkopo hapo nlichukua m 4.5 wanakata 132 kwa 5years