Ritual
Senior Member
- Jun 13, 2025
- 163
- 187
Mtoa mada mimi naomba unisaidie mawazo tu, kipato changu si kikubwa.Ni mfanyakazi na nipo private sector. Uwezo wa kuagiza gari nje ya nchi au kununua ktk yard zenu hapa nchini sina.Naweza kupata gari ya third party ya mkopo ambayo ni nzuri kiasi yaani haijachoka saaana kwa bajeti yangu?
Pili, napenda TOYOTA COROLLA 111/110
SPACIO OLD
RAUM OLD
VITS OLD
CARINA TI/SI
MARCH NISSAN
NK sichagui mode ya gati bora inafaa kutembelea kwani kipato ni kidogo na napenda nami niwe mmoja wa wsmiliki wa magari.Naomba mnikosoe kistaarabu kama nitakuwa sijaeleweka.