Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Nyie ndio mnaharibugi hata vikao vya familia kwa fujo. Trekta tena,unataka kutumalizia hela zote.Nahitaji tractor kaka mnidhamini
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumishi pia
Nyie ndio mnaharibugi hata vikao vya familia kwa fujo. Trekta tena,unataka kutumalizia hela zote.Nahitaji tractor kaka mnidhamini
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumishi pia
Weka hapa majadiliano ya awali tujue ili huko pm mnakwenda tu kujadili matatizo ya mteja akijielezea kwann amekuja kuomba mkopo na mnamsaidiaje kupeana direction za ofisi na kumaliza mkataba. Au unasemaje ndugu mtangazaji?Wewe jamaa nimekuja humu kutangaza biashara nikipata mteja biashara haifanyikii humu hili ni jukwaa la matangazo
Mkopo 30M
Mizi 12
Rejesho 3.78M
Mkopo 30
Miez 24
Rejesho 2.43M
Mkopo 40M
Miez12
Rejesho 5.13M
Mkopo 40M
Miezi 24
Rejesho 3.23MMkopo 20M
Miez 12
Rejesho 2.6M
Miezi 24
Rejesho 1.6M