Mkuu TUNATOA tuhuma ambazo sio za kweliHamna mtanzania wa kukupa mkopo kwa roho nzuri ili ufaidike hapo kuna mambo mengi yalio jificha ambao haja yataja, kwa mfano atakulazimiasha ulipie bima kubwa comprehesive kila mwaka kwa gharama zoka ambayo ni 10% ya bei ya ghari.......hiyo kadi ya gari inaweza akaikopea pia wakati umemaliza mkopo huoni kadi anaanza kukuzungusha hiyo ribah ya 3.5% sio kweli niuongo yeye pesa atakua anaitowa benki ipi kwa hiyo riba ya 3.5%....waswahili hapana ni laana tu.
Eti umnunulie mtu gari la 200m wewe umlipie 100m kila mwe awe anakupa marejesho ya 3.5m kweli kwahiyo riba hata benki zitakopa kwako, acheni kua madalali wa mitaji ya watu tafuteni mitaji yenu muanzishe biashara halali sio za ujanjaujanja.
3.5% kwa mwezi, hii ni 42% kwa mwaka, hii ni balaa.
Bank wanakoesha kwa 13 hadi 16%. Tuchukilie 16%. Mkopo wako ni karibu mara 3 ya mikopo inayotolewa kwenye taasisi za fedha.
Kausha damu ndio hii sasa.
Kama ni gari la biashara sio liabilityMkopo wa gari (liability) ni upuuzi mtupu
Ukilips 35m hiyo ni riba tu, hujarejesha mkopo.Hamna mtanzania wa kukupa mkopo kwa roho nzuri ili ufaidike hapo kuna mambo mengi yalio jificha ambao haja yataja, kwa mfano atakulazimiasha ulipie bima kubwa comprehesive kila mwaka kwa gharama zoka ambayo ni 10% ya bei ya ghari.......hiyo kadi ya gari inaweza akaikopea pia wakati umemaliza mkopo huoni kadi anaanza kukuzungusha hiyo ribah ya 3.5% sio kweli niuongo yeye pesa atakua anaitowa benki ipi kwa hiyo riba ya 3.5%....waswahili hapana ni laana tu.
Eti umnunulie mtu gari la 200m wewe umlipie 100m kila mwe awe anakupa marejesho ya 3.5m kweli kwahiyo riba hata benki zitakopa kwako, acheni kua madalali wa mitaji ya watu tafuteni mitaji yenu muanzishe biashara halali sio za ujanjaujanja.
Huyu tapeli, anadhani humu jf ni eneo la wajinga kama yeye, nakubaliana na wewe kuwa hao ni madalali wa mitaji ya watu,Hamna mtanzania wa kukupa mkopo kwa roho nzuri ili ufaidike hapo kuna mambo mengi yalio jificha ambao haja yataja, kwa mfano atakulazimiasha ulipie bima kubwa comprehesive kila mwaka kwa gharama zoka ambayo ni 10% ya bei ya ghari.......hiyo kadi ya gari inaweza akaikopea pia wakati umemaliza mkopo huoni kadi anaanza kukuzungusha hiyo ribah ya 3.5% sio kweli niuongo yeye pesa atakua anaitowa benki ipi kwa hiyo riba ya 3.5%....waswahili hapana ni laana tu.
Eti umnunulie mtu gari la 200m wewe umlipie 100m kila mwe awe anakupa marejesho ya 3.5m kweli kwahiyo riba hata benki zitakopa kwako, acheni kua madalali wa mitaji ya watu tafuteni mitaji yenu muanzishe biashara halali sio za ujanjaujanja.
Usiwe mwepesi kuhukumuHuyu tapeli, anadhani humu jf ni eneo la wajinga kama yeye, nakubaliana na wewe kuwa hao ni madalali wa mitaji ya watu,
Biashara nyingi mkuu Zina kitengo Cha MIKOPO KUANZIA benki makampuni ya bima na makampuni mengine mengiUsiwe mwepesi kuhukumu
Kausha pro max3.5% kwa mwezi, hii ni 42% kwa mwaka, hii ni balaa.
Bank wanakoesha kwa 13 hadi 16%. Tuchukilie 16%. Mkopo wako ni karibu mara 3 ya mikopo inayotolewa kwenye taasisi za fedha.
Kausha damu ndio hii sasa.
Kausha pro max3.5% kwa mwezi, hii ni 42% kwa mwaka, hii ni balaa.
Bank wanakoesha kwa 13 hadi 16%. Tuchukilie 16%. Mkopo wako ni karibu mara 3 ya mikopo inayotolewa kwenye taasisi za fedha.
Kausha damu ndio hii sasa.
| Reference Number: | 24254117826 |
| Make: | TOYOTA |
| Model: | LANDCRUISER PRADO - TRJ 150 / 151 / 155 |
| Body Type: | SUV |
| Year of Manufacture: | 2014 |
| Country: | JAPAN |
| Fuel Type: | PETROL |
| Engine Capacity: PRICE | 2501 CC & ABOVE 120M |
Mkopo ni asilimia 45 ya Bei ya gari
Reference Number: 24254117826 Make: TOYOTA Model: LANDCRUISER PRADO - TRJ 150 / 151 / 155 Body Type: SUV Year of Manufacture: 2014 Country: JAPAN Fuel Type: PETROL Engine
Capacity:
PRICE2501 CC & ABOVE
120M
Hebu demonstrate hapo kwa kutumia gari hii. Uchukue basis ya miezi 24. Jinsi ambavyo mfumo wenu wa mkopo unafanya kazi. Nimependa idea yenu lakini nataka nione, kama hii ni mil 120, mtu anachukua mkopo na kulipa ndani ya 24 months, itakaaje?

Njoo pmHebu demonstrate hapo kwa kutumia gari hii. Uchukue basis ya miezi 24. Jinsi ambavyo mfumo wenu wa mkopo unafanya kazi. Nimependa idea yenu lakini nataka nione, kama hii ni mil 120, mtu anachukua mkopo na kulipa ndani ya 24 months, itakaaje?
Sasa hayo mambo ya siri ndo maana watu wanaanza kusema ni utapeli. Kwani kuna shida gani kubainisha hapa? Maana hata kama ni biashara hutafanya na mtu mmoja, watu wengi watapata faida ukibainisha hapa, na utapunguza maswaliNjoo pm