Ok sson naleta mchanganuo mzimaSasa hayo mambo ya siri ndo maana watu wanaanza kusema ni utapeli. Kwani kuna shida gani kubainisha hapa? Maana hata kama ni biashara hutafanya na mtu mmoja, watu wengi watapata faida ukibainisha hapa, na utapunguza maswali
Hawa itakua na flat rate kila mwezi jumla inakua 84% kwa miaka miwiliMkuu,hii riba ya asilimia 3.5 hujaainisha ni ya mwezi au hiyo yote miezi 24?
Na ni reducing,?
Imekaa poa sana hii,mfano nikiagiza mwenyewe nikakosa ushuru,means mnanikopesha then nalipa taratibu iliyobaki...all in all safi sana hii
No tunatumia reducing methodHawa itakua na flat rate kila mwezi jumla inakua 84% kwa miaka miwili
Reducing balance hawataki ukijifanya mjuaji mkopo hawakupi baadhi ya taasisi
Njoo pm tuyajengeNahitaji tractor kaka mnidhamini
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumishi pia
PM ya nini wewe malizaneni hapa hapa mbele yetu tukiona.Njoo pm tuyajenge
Wewe jamaa nimekuja humu kutangaza biashara nikipata mteja biashara haifanyikii humu hili ni jukwaa la matangazoPM ya nini wewe malizaneni hapa hapa mbele yetu tukiona.
Inapokuja suala la biashara lazima kuweza na usiriPM ya nini wewe malizaneni hapa hapa mbele yetu tukiona.
Kasema wanakopesha hadi 50% ya gharama ya gari kama unanunua hapa hapa Tanzania yaani kwenye yard ila wanakopesha 45% ya gharama kama gari ndio ipo Japan inaagiziwa kuja Tanzania.Kuna sehemu sijaelewa, mfano gharama ya gari kutoka Yard ni 18M.. Nyie mkalipa 9M kwao tuu, itakuwaJe kama Yard husika haikopeshi? Au Yard pia ni yenu? Au lazima mtu achukue gari kwe u?
Haya mtuambie mnapokutana tuje kusaini fomu ya ushahidi maana tumeona mkianza biashara hapa.Wewe jamaa nimekuja humu kutangaza biashara nikipata mteja biashara haifanyikii humu hili ni jukwaa la matangazo
Hebu fafanua. 3.5% rate kwa mwaka inakuwaje 42% kwa faida ya back benchers na watoro.3.5% kwa mwezi, hii ni 42% kwa mwaka, hii ni balaa.
Bank wanakoesha kwa 13 hadi 16%. Tuchukilie 16%. Mkopo wako ni karibu mara 3 ya mikopo inayotolewa kwenye taasisi za fedha.
Kausha damu ndio hii sasa.
Hii kesi nimeiona sanaHebu fafanua. 3.5% rate kwa mwaka inakuwaje 42% kwa faida ya back benchers na watoro.
Elezea hapa hapa. Huko PM mzee wengine tutaelewaje? Huwezi kufanya kama mwalimu kitae utufundishe kwa ujumla kwa wakati m'moja.Njoo pm
Mkuu namshukuru Kwa ufafanuzi mzuriKasema wanakopesha hadi 50% ya gharama ya gari kama unanunua hapa hapa Tanzania yaani kwenye yard ila wanakopesha 45% ya gharama kama gari ndio ipo Japan inaagiziwa kuja Tanzania.
So wewe utaangalia unatakaje. Mfano unanunua gari la milion 20 ila ndani una milion 15 it means umekosa milioni 5 na unahitaji kukopeshwa milioni 5. Wao watakupatia mkopo unaohitaji kulingana na mahitaji yako ya kiasi cha pesa kilichopungua kwenye bajeti hawakupangii ukope kiasi gani ili mradi tu kisizidi 50% ya bajeti mzima kama unanunua hapa hapa tanzania kutokea yard na watakusapoti 45% kama unaimport kutokea japan au Dubai, au china, UK, marekani, Germany, South Africa etc. Wewe sasa ndio ujipange.
Mzee mimi nakuelewa ila unatakiwa kufahamu kuwa suala la elimu kwa wateja ni muhimu zaidi. Hawa watu wote wenye doubts na maswali ni kwasababu ya kukosa elimu ya wazi.Hii kesi nimeiona sana
Haifiki 42% maana tunatumia reducing method
Kinachotolea ni kuwa marejesho yanakuwa sawa lkn riba hupungua kila mwezi kwahiyo Kwa mwaka haiwezi fika 42%
Naomba nitoe ufafanuzi mzuri Kwa huyubanayetaka tractorNahitaji tractor kaka mnidhamini
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumishi pia
Weka mfano watakuelewa ukiona watu wanakupinga jua kuna taarifa hawajaelewa fanya kuwaelimisha kwa kile mnachopishana.No tunatumia reducing method