Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Nimekunukuu...Weak currency si tatizo, tatizo ni weak currency bila strategy.
Tatizo kubwa Nchi petu ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA!!Juzi nilikuwa namsikiliza Bshe na takwimu zake za sukari ni vituko juu ya vituko,anasema upungufu unatokana na mabadiliko ya haki ya hewa.
Imagine Nchi ambayo 3/4 ya ardhi yake ina rutuba na imezungukwa na maziwa na mito inaagiz sukari na mafuta ya kula kwa kuwa kuna upungufu wa uzalishaji unaotokana na hali ya hewa.
kila mwaka mabadiliko ya hali ya hewa,tunatumia mabilioni ya USD kuagiza sukari na mafuta,bado matakataka mengine kutoka China lundo kwa lundo sisi tunacho export-hakuna.
Again, pesa kuwa na thamani kubwa au ndogo si issue.WHAT MAKES A CURRENCY STONG.
A currency's strength is determined by ;
1. Interaction of a variety of local and international factors such as demand and supply in the foreign exchange markets.
2. The interest rates of the central Bank.
3. The inflation and growth in the domestic economy.
4. The country 's balance of trade. Exports must be higher than imports.
Kiranga pesa yetu ilikuwa na thamani kubwa Awamu ya mwalimu Nyerere sababu ya viwanda kuzalisha bidhaa na kuuzwa ndani na nje ya Nchi.
Shida yetu ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA.
Wala RUSHWA wanyongwe!!
Ninaelewa,Again, pesa kuwa na thamani kubwa au ndogo si issue.
Issue ni strategy ya kuitumia thamani kubwa au ndogo ili kujenga uchumi mzuri.
Nchi inayotegemea sana exports pesa kuwa na thamani kubwa sana ni tatizo, si kitu kizuri.
Kwa sababu pesa kuwa na thamani kubwa sana inaweza kupunguza exports.
Tatizo si pesa kuwa na thamani kubwa au ndogo.
Tatizo ni strategy ya kuitumia hiyo thamani ya pesa (bila kujali kwamba ninweak au strong) ili kujenga uchumi mzuri.
Usichoelewa nini?
Ndugu tatizo kubwa linaloikabili Nchi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA.Nadhani kuna sababu toka nje na kuna sababu za ndani ya mfumo wetu wa uchumi.
Bahati mbaya sana tulikosea pale tulipoanza kuamini kuwa uchumi hauhusiani na siasa.
Uchumi imara hutegemea uimara wa wanasiasa walioko madarakani(watawala na wapinzania wao) na haitegemei Sana nadharia za wasomi wa uchumi wasio na mamlaka na madaraka ya kisiasa.
Ukiona uchumi wetu ni kama umelemewa ni kwa kuwa wanasiasa wetu wamelemewa kifikra na hali mbaya ya uchumi tuliyonayo. Wanasiasa wetu hawajui wafanye nini ili kututoa hapa tulipokwama kiuchumi.
Unakubali kwamba kuna strategy ya kuwa na uchumi mzuri kwa nchi yenye weak exchange rate kama China?Unaposema exchange rate sio uchumi una maana gani,exchange rate ina impact kubwa kwenye trade,interest rates,investments performances, na inflation.
Utawezaje kuzungumzia uchumi bila kuyazungumzia hayo maeneo??
China anatumia fixed exchange rate system ku promote export kama ulivyosema,ila Tanzania kwa kiasi kikubwa tunatumia floating exchange rate ambayo inategemea nguvu ya soko-hivyo fedha yetu kuwa weak dhidi ya USD ni kutokana na uchumi mbovu.
Kwa kuwa hapa Si china,Unakubali kwamba kuna strategy ya kuwa na uchumi mzuri kwa nchi yenye weak exchange rate kama China?
Kwa maana ya kwamba Mchina kajua kuitumia weak exchange rate yake ku promote exports kwa njia ambayo faida za kuongeza exports zimezidi hasara za kuwa na weak exchange rate?
Na kwa hiyo, mtu mwenye kujua kujipanga anaweza kutumia weak exchange rate kujinufaisha kiuchumi, kwa mfano kama anavyofanya China, kutumia weak exchange rate ku promote exports?
Na kwa hiyo, weak exchange rate does not necessarily mean weak economy, kwa sababu mtu anaweza kutumia weak exchange rate kujenga strong economy.
Kwa hiyo, kufikiri weak exchange rate = weak economy ni makosa.
Tatizo si weak exchange rate, kwa sababu hata weak exchange rate inaweza kutupa strong economy.
Tatizo ni kuwa na weak exchange rate bila ya kuwa na economic strategy ya kutumia weak exchange rate kujenga strong economy.
Ukilalalamikia weak currency, wakati mwenzako Mchina anang'ang'ania currency yake iwe weak, ili uchumi wake uwe mzuri, unatuonesha kuwa, tatizo lako si weak currency (kwa sababu Mchina kaweza kutumia weak currency kujenga strong economy). Tatizo lako huna strategy ya kutunia weak currency kujenga strong economy.
Yani ni kama unalalamika "the stock market is falling, I am not making money".
Wakati wenzako wana strategies za ku make money whether the stock market is falling down or climbing up.
Tunaangalia weak currency kama tatizo.
Wakati weak currency si tatizo.
Weak currency kwetu ni matokeo ya tatizo.
Tatizo letu ni kukosa strategy.
Tungekuwa na strategy, hata hiyo weak currency ina advantages zake za kutuwezesha kujenga uchumi mzuri.
Matatizo yetu ni haya.Ninaelewa,
Nchi yetu chini ya CCM inakwama wapi kukosa strategy usemazo?
Ukipewa wasaa kushauri, ungesemaje?
Rushwa ndio inaididimiza hii nchi miaka nenda rudi. Wenye mamlaka wakidhibitiwa kwa 100% lazima mabadiliko yatatokea ndani ya muda mfupi sana.Ndugu tatizo kubwa linaloikabili Nchi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA.
Mirahaba ya migodi Nchi hii, pesa nyingi unaingia mifukoni mwa wanasiasa viongozi wetu kuliko kuingia serikalini ndio maana raslimali hiyo adimu inashindwa kuifanya shilingi yetu kuwa strong, Dhahabu inatoroshwa Kwa ndege haipiti ukaguzi sababu ya RUSHWA.
Tukifanikiwa kutokomeza RUSHWA hata Kwa 50% tu, Nchi itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo na kiuchumi.
Ila No. 3, kuitoa CcM madarakani izingatiwe zaidi, Kisha Katiba mpya.
Mikopo ipingwe pininili ufanyike uchunguzi juu ya mikopo hiyo , manufaa na risk na masharti nyuma ya mikopo hiyo vijulikane na kuwekwa wazi!!Rushwa ndio inaididimiza hii nchi miaka nenda rudi. Wenye mamlaka wakidhibitiwa kwa 100% lazima mabadiliko yatatokea ndani ya muda mfupi sana.
Tatizo tuliowapa madaraka ni wasaliti na wanalindana. Mtu kama anaweza kukwapua billion 300 akishirikiana na kikundi kidogo cha maofisa wa serikali mtatoboa vipi?
Hebu waza hizo fedha zingekwenda kweli kufanya yaliyokusudiwa kwa miaka 10 tu nchi ingekuwa wapi? Hela inaidhinishwa Billion 800 inayoenda kufanya kazi ni 300 billion hio 500billion wanagawana watu wachache wanaenda kununua majumba marekani na Dubai. Maendeleo yatatoka wapi?
Hapana.Kwa kuwa hapa Si china,
Na Nchi Haina strategy ya kutumia kama wafanyavyo china,
Tufanye conclusion kuwa,Kwa Tz,
Weak exchange rate=weak Economy.
CCM must go!!
Tunaishi kwenye combination ya Monarchy mated with Oligarchy in stealth mode ila nchi inaitwa ni ya kidemokrasia mbele ya macho ya dunia.Matatizo yetu ni haya.
1. Nchi iko top heavy. Maamu,i yanatoka juu kuja chini.
2. Viongozi wengi wa juu kabisa ni washamba. Wanajikita zaidi kwenye kujisimika kwenye madaraka zaidi ya kupandisha uchumi. Hawana vision na hata wakishauriwa hawana interest.
3. Serikali imepewa ushauri mwingi mzuri sana wa kitaalamu. Tatizo ni utekelezaji.
Achilia hio, kuna kampuni inaingiza sio chini ya 100B kila quater. Ila hesabu zinachakachuliwa kinachoenda Serikalini hakifiki hata Billion 10.Juzi nilikuwa naangalia Annual Financial Statement 2022 ya Kampuni moja Mkubwa ya Uchimbaji Madini hapa nchini-kwenye hizo hesabu za Mwaka ilikuwa inaonesha Kampuni imetengeneza revenue ya Shs.trillion 1 na point hizi badaye wakatoa cost ikabaki na shs.200B
Sasa ukisoma mchanganuo wa hizo gharama-ni vitko kabisa unaangalia unasema hapa unaona kabisa lengo Lao lilikuwa ni nini.
Kwa hoja zako bc hata umri wako usimame hapo hapo, kupanda na kushuka ni lazima kwenye mambo yote.mkuu hivi kweli mabadiliko yawe ya hasara tuu???? Kusema kweli maghufuli na Sera yake usd ingeshuka dhidi ya tsh... tunavyozidi kuwakaribisha hawa watu wa kigeni ndivyo tunavyoporomoa uchumi wetu
USALAMA wa Taifa wapo na wanaona, Kisha wanapeleka taarifa, hazifanyiwi KAZI Bali zinatiwa kapuni.Achilia hio, kuna kampuni inaingiza sio chini ya 100B kila quater. Ila hesabu zinachakachuliwa kinachoenda Serikalini hakifiki hata Billion 10.
Kikubwa amendment imuondolee rungu raia namba moja kwenye chama na maamuzi critical kama uuzaji wa rasilimali na mikopo yawe assessed pia na general public. Sio mtu anaamua kusaini tu kisa ni mwenyekiti wa chama na raia.Mikopo ipingwe pininili ufanyike uchunguzi juu ya mikopo hiyo , manufaa na risk na masharti nyuma ya mikopo hiyo vijulikane na kuwekwa wazi!!
Katika jambo tunalotakiwa kuhakikisha tunafanikiwa,
Ni kupata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote!!