Unaposema exchange rate sio uchumi una maana gani,exchange rate ina impact kubwa kwenye trade,interest rates,investments performances, na inflation.
Utawezaje kuzungumzia uchumi bila kuyazungumzia hayo maeneo??
China anatumia fixed exchange rate system ku promote export kama ulivyosema,ila Tanzania kwa kiasi kikubwa tunatumia floating exchange rate ambayo inategemea nguvu ya soko-hivyo fedha yetu kuwa weak dhidi ya USD ni kutokana na uchumi mbovu.
Unakubali kwamba kuna strategy ya kuwa na uchumi mzuri kwa nchi yenye weak exchange rate kama China?
Kwa maana ya kwamba Mchina kajua kuitumia weak exchange rate yake ku promote exports kwa njia ambayo faida za kuongeza exports zimezidi hasara za kuwa na weak exchange rate?
Na kwa hiyo, mtu mwenye kujua kujipanga anaweza kutumia weak exchange rate kujinufaisha kiuchumi, kwa mfano kama anavyofanya China, kutumia weak exchange rate ku promote exports?
Na kwa hiyo, weak exchange rate does not necessarily mean weak economy, kwa sababu mtu anaweza kutumia weak exchange rate kujenga strong economy.
Kwa hiyo, kufikiri weak exchange rate = weak economy ni makosa.
Tatizo si weak exchange rate, kwa sababu hata weak exchange rate inaweza kutupa strong economy.
Tatizo ni kuwa na weak exchange rate bila ya kuwa na economic strategy ya kutumia weak exchange rate kujenga strong economy.
Ukilalalamikia weak currency, wakati mwenzako Mchina anang'ang'ania currency yake iwe weak, ili uchumi wake uwe mzuri, unatuonesha kuwa, tatizo lako si weak currency (kwa sababu Mchina kaweza kutumia weak currency kujenga strong economy). Tatizo lako huna strategy ya kutunia weak currency kujenga strong economy.
Yani ni kama unalalamika "the stock market is falling, I am not making money".
Wakati wenzako wana strategies za ku make money whether the stock market is falling down or climbing up.
Tunaangalia weak currency kama tatizo.
Wakati weak currency si tatizo.
Weak currency kwetu ni matokeo ya tatizo.
Tatizo letu ni kukosa strategy.
Tungekuwa na strategy, hata hiyo weak currency ina advantages zake za kutuwezesha kujenga uchumi mzuri.