Sema watu wenye uwezo kama wako, hawawezi jua kitu kwakuwa hawana kitu cha ku-offer!
Umeongea kwenye level ya kina Baba Levo!
Ebu tutajie deni la taifa/nchi liko vipi kwa sasa ili tujue ukilinganisha na kipindi cha Msoga then Mwamba!
Utueleze tu, ni kiasi gani kinaenda kizimkazi kwa gharama ya Tanganyika only?
- Kiasi gani kinaenda kwa mkwe?
- Kiasi gani wakina Bahashe wanatia mifukoni?
- Unafuatilia semina mfu na warsha zinazoendelea kwa sasa?
- Unajua ni kwanini KQ wameufyata? Watumishi wa umma wanaishi angani siku hizi.
- Unaweza kutufafanulia ni kwa kiasi gani uchumi umekuwa kiuhalisia kiasi cha watumishi kuweza kufanya matusi wanayofanya mtaani kwa nyongeza ya Tsh 23,000 tu?
Unaelewa nini ukiwaona mateja kule vituoni, wale waliokuwa wametoweka?
Unaishi wapi usijue ni jinsi gani wizi wa kizamani umerudi kwa kasi?
Kuwa CHAWA ni LAANA na hasa kama ni MWANAUME.