Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

Vumilia ukweli, hili jambo tulilisema muda mrefu wakati dhalimu anasaka sifa za kijinga kuwa anafanya mambo kwa fedha za ndani, huku anaenda kukopa kichwa kichwa. Leo hii tunalipa riba kubwa, na wakandarasi wanashindwa kulipwa, kisa dhalimu alikuwa anasaka sifa.
Wengi hawawez elewa
 
Tusemezane ukweli mtupu, mikopo ya kibiashara inakopwa ili fedha hiyo izunguke kibiashara, ni upumbavu mkubwa kukopa fedha kwenye mabenki ya kibiashara na kwenda kujengea madaraja na vitu kama hivyo, ni ujinga ulio mkuu kabisa, ndivyo ilivyo na yalifanyika awamu ya tano, kumbuka by any mean bank za kibiashara whenever softication they made to you, lakini maumivu utayapata na yatakuumiza, Nampa pole mwigulu lakini hakuna jinsi tulipe tu hata kidogo kidogo alimradi kote kote kuende.
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi kulipa mikopo aliyochukua magufuli

Miradi mikubwa aliyoanzisha magufuli imekua ni kaa la moto kwa serekali na kuweka mambo magumu serekali kwa shinikizo la kisiasa ikabidi ifanye juu na chini iimalizie huku hio miradi ikihitaji hela nyingi

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Chawa mwendawa..........
 
Sikio la kufa.
 
Wewe ndo Waziri wa fedha?

Kiherehere tu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Achana na vithread vya kijinga kwani nani hakopi.Acha kuchafua mtu ambaye hawezi kujibu wala hasikii upuuzi wenu
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Umeongea kitu kikubwa sana ambacho watu wengi hawakijui, Mimi si mshabiki wa CCM ila niseme kiukweli kama siyo Plan za mama Tanzania tulikuwa tumekwisha. Hali hii ngumu ya uchumi kwa sasa ingekuwa mara kumi zaidi hivi sasa kama mwenda zake angekuwepo, kwani alishafukarisha wafanya biashara wote wakubwa kwa wadogo, Deni hili la taifa limeongezeka kwa kasi sio kua mama Anakopa sana ila ni madeni na pesa tulizokopa Kw kausha Damu. Nimpongeze mama kwa kiasi fulani kwa hatua alizo chukua lakini bado anapaswa kukaa chini na kusugua kichwa kwa kina. Pia ahakikishe anapata muafaka na wapinzani kwani wanaweza wakamchafulia na kuanza kumanga manga, kwani hali kwa ujumla kwa sasa siyo kabisa, Watanzania wanataabika ile mbaya.
 
Kwa hiyo,maji yamewafika shingoni,mmeanza kumtupia lawama hayati. Alitumia akili zake,akakopa,na mkopo aliufanyia kazi na zikaonekana. Alikuwa tu bado hajaanza kulipa mikopo ya watu.
Mbona alipoingia hakumlalamikia Mhe Kikwete kwa ambayo hakufanya? Iweje leo ndo aliyepo amlalamikie mtangulizi wake.
Hata hivyo,anajitahidi nae kubana ili hayo madeni yalipwe:
-Hasara za umeme,hakika zinafidiwa sehemu husika.
-Sukari kuwa adimu,hakika ni hela.
Kwani, TRA inavyokusanya inapeleka wapi?

Muacheni baba wa watu,pamoja na mabaya yake,matunda ya kazi zake yalionekana. Msitafute visingizio.
Ingekuwa nchi za ulaya na malekani,ambapo kiongozi anawajibishwa,sijui ingekuwaje.
Mtoa mada, unaongea kwa niaba ya nani? Na kama nani!
 
Dada mimi ni mtu mzima nina wake watatu kama vipi nikuoe uwe mke wangu wa nne,karibu sana kwenye maisha bora siyo unaendelea kuzalia nyumbani kwa babako .
Kumbe. Ndo maana dish limeyumba. Wamekuchanganya mpaka unaongelea vitu visivyo na kichwa wala miguu
 
Tusemezane ukweli mtupu, mikopo ya kibiashara inakopwa ili fedha hiyo izunguke kibiashara, ni upumbavu mkubwa kukopa fedha kwenye mabenki ya kibiashara na kwenda kujengea madaraja na vitu kama hivyo, ni ujinga ulio mkuu kabisa, ndivyo ilivyo na yalifanyika awamu ya tano, kumbuka by any mean bank za kibiashara whenever softication they made to you, lakini maumivu utayapata na yatakuumiza, Nampa pole mwigulu lakini hakuna jinsi tulipe tu hata kidogo kidogo alimradi kote kote kuende.
Ila binadamu viumbe wa ajabu. Mnaridhishwa na nini? Leo hii kilio cha foleni zisizoisha,kimeisha. Sasa madaraja ndo yamekuwa shida. Kwa hiyo,aliyekopa hakujua atalipaje?

Au aliyekaimu ndo hajui mbinu za kulipa! Maana tujuavyo,kiongozi wankweli hawezi kulalamika kwamba nilikuta deni lilishachukuliwa!
 
Nani kakudanganya foleni zimekwisha? Au utembei mijini?ispokuwa endapo haya madaraja yasingekuwepo hali ingekuwa mbaya kweli, hatulalamikii ujenzi wake tunalalamikia formula ya upatikanaji wa fedha za ujenzi wa madaraja hayo, kuliko kuiumiza serekali ni heri yangejengwa kwa PPP.
 
Ila hii nchi kuna watu wanapaswa wakatwe vichwa ndo tusonge mbele kama huyu mleta uzi

Kwa hiyomatatizo ta sukari kupanda ni Magufuli? Umeme ni magufuli? Shida ya kupanda gharama za maisha ni magufuli
 
Back
Top Bottom