Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Zitto aliwahi kuyaongea haya kitambo, "we shall pay the price later" ndiyo yanayotokea sasa, tumshukuru sana mama Samia kwa upeo wake wa ajabu na kipekee kwa" quickly economy recovery "uchumi ulikuwa unakwenda kuanguka kifo cha mende!,.....Ila hii nchi kuna watu wanapaswa wakatwe vichwa ndo tusonge mbele kama huyu mleta uzi
Kwa hiyomatatizo ta sukari kupanda ni Magufuli? Umeme ni magufuli? Shida ya kupanda gharama za maisha ni magufuli
Mkiambiwa ukweli pamoja na mwenzenu luca mnajiona wajuajiAcha upumbavu
Dada na wewe unatafuta mume? Tatizo hujatulia .Kumbe. Ndo maana dish limeyumba. Wamekuchanganya mpaka unaongelea vitu visivyo na kichwa wala miguu
Tatizo kajifia katuachia msala.Ilitakiwa awe hai Ili Wanyonge waisome namba vizuri.Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Upumbavu au ukweli?Acha upumbavu
Sawa lakini si ndio ukweli au?Chawa wa mama🤔
Moja ya mambo ambayo nashukuru ni Magufuli kutokaa miaka kumi kama angekaa miaka 10 damage kwenye uchumi ingekua kubwa sanaUmeongea kitu kikubwa sana ambacho watu wengi hawakijui, Mimi si mshabiki wa CCM ila niseme kiukweli kama siyo Plan za mama Tanzania tulikuwa tumekwisha. Hali hii ngumu ya uchumi kwa sasa ingekuwa mara kumi zaidi hivi sasa kama mwenda zake angekuwepo, kwani alishafukarisha wafanya biashara wote wakubwa kwa wadogo, Deni hili la taifa limeongezeka kwa kasi sio kua mama Anakopa sana ila ni madeni na pesa tulizokopa Kw kausha Damu. Nimpongeze mama kwa kiasi fulani kwa hatua alizo chukua lakini bado anapaswa kukaa chini na kusugua kichwa kwa kina. Pia ahakikishe anapata muafaka na wapinzani kwani wanaweza wakamchafulia na kuanza kumanga manga, kwani hali kwa ujumla kwa sasa siyo kabisa, Watanzania wanataabika ile mbaya.
Bora ingekuwa hata miaka 10,mikopo ya kibiashara kwenye Mabenki ni miaka 3 -5,ukipata wa miaka 10 ni nafuu.Mikopo mingi ni miaka 10 kuendelea, kuanzia mwaka 2030 huko lazima watu walimie meno, jamaa alikopa sana, akawa anaongopea fedha zetu.
Mwigulu naye anakopa kwa spidi ya Boeing 787 .
Na mvua ikinyesha wanasema maji hayatiririki kuelekea yalipo mabwawaKuna Watu wanahangaika sana kuhalalisha uozo uliopo kwa kumsingizia Hayati, wanaleta vitu ambavyo hata ushahidi hawana..
Siku za mwanzo Umeme unasumbua, wakaja na hoja kwamba mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati enzi za Hayati, saa hizi tena tunaambiwa Maji yamepungua kwenye Mabwawa ya kuzalisha Umeme, Wanatuona sisi ni Wajinga wa kudanganywa kila leo.
Mmeanza uongo mwacheni Magufuri apumzike kazi alishafanya ila ninyi nchi imewashinda.Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Kama mtu mwenye akili nyingi anashuhudia umeme kuktwa hovyo bila mpango, watu kufisadi fedha za umma bila uoga na rushwa kukithiri, miradi haina mwelekeo, sukari kupandishwa bei bila utaratibu inshort hamna muongozo wowote zaidi ya kumtesa mwananchi wa hali ya chini. Kama mtu mwenye akili ataona haya yote ni sawa basi atakuwa mbumbumbu wa mwisho na lofa kabisa kumponda Magufuli.Watu wenye akili ndogo hawawezi elewa Magufuli alizingua sana
Umeona huyu chaneee MpuuziiiiiiiAcha upumbavu
Ila uzi hauhusu hayo uliyoyasemea kwanini usijikite kwenye mada ya uziKama mtu mwenye akili nyingi anashuhudia umeme kuktwa hovyo bila mpango, watu kufisadi fedha za umma bila uoga na rushwa kukithiri, miradi haina mwelekeo, sukari kupandishwa bei bila utaratibu inshort hamna muongozo wowote zaidi ya kumtesa mwananchi wa hali ya chini. Kama mtu mwenye akili ataona haya yote ni sawa basi atakuwa mbumbumbu wa mwisho na lofa kabisa kumponda Magufuli.
Wewe unahisi ungewai kuwa na akili kuliko Magufuli?Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Mada gani wewe,unataka watu wakupongeze wakati unachapia?Wewe yanayofanyika leo unaona sawa??Ila uzi hauhusu hayo uliyoyasemea kwanini usijikite kwenye mada ya uzi
Hakuna sehemu nimeongelea umeme au changamoto nyingine
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Wameshindwa kazi; wanakuwa ni visingizio kila siku.Kuna Watu wanahangaika sana kuhalalisha uozo uliopo kwa kumsingizia Hayati, wanaleta vitu ambavyo hata ushahidi hawana..
Siku za mwanzo Umeme unasumbua, wakaja na hoja kwamba mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati enzi za Hayati, saa hizi tena tunaambiwa Maji yamepungua kwenye Mabwawa ya kuzalisha Umeme, Wanatuona sisi ni Wajinga wa kudanganywa kila leo.
Chawa kwenye ubora wenu, hata hivyo mna hali mbaya kiasi kwamba mnashindwa kumtetea boss wenuZitto aliwahi kuyaongea haya kitambo, "we shall pay the price later" ndiyo yanayotokea sasa, tumshukuru sana mama Samia kwa upeo wake wa ajabu na kipekee kwa" quickly economy recovery "uchumi ulikuwa unakwenda kuanguka kifo cha mende!,.....
HakikaChawa kwenye ubora wenu, hata hivyo mna hali mbaya kiasi kwamba mnashindwa kumtetea boss wenu