Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

Chawa at work,dubuli lako
 
Visibility study = feasibility study, ela = hela. Hongera ndugu. Inaonyesha kiukweli una wito mkubwa kwenye suala zima la UJINGA.
 
Visibility study = feasibility study, ela = hela. Hongera ndugu. Inaonyesha kiukweli una wito mkubwa kwenye suala zima la UJINGA.
Usipende kujikita kwenye petty issues za typing error hii sio thesis

Wenzako wanajikita kwenye mambo ya msingi na sio typing error
huwezi chukua credit kwenye typing error maisha sio marahisi hivyo
 
Dada na wewe unatafuta mume? Tatizo hujatulia .
Haina shida,hata we mtoto wa kiume ntakupokea. Ila,ukweli ndo huo,kubali kataa, hali zenu mjilaumu wenyewe. Hamkumpenda Magu, walikuwepo walompenda. Leo hii mnakumbatiwa na mama yenu(majizi),na yeye wapo wasipenda.
Kila rais aliepita. Alikuwa na wafuasi na wapinzani. Msitake kukwepa majukumu na kutupia mtu lawama. Aliwaelekeza njia ya maendeleo,matbo yenu yakawakatalia. Huyo mama hakujua kaachiwa madeni? Mbona hakukataa kurithi kiti! Vya bule siku zote havina thamani
 
Bahati nzuri umekuja kistaarabu. Hivyo,ni mjadala,ni kueleweshana,lakini si kupandikizana.
Kama kweli madaraja yamesaidia kwa kiasi kikubwa,pamoja na wehu wake na kukurupuka,vilisaidia. Sasa,unajuaje kama labda angelikuwa bado hai,hizo kesi asigezimaliza? Kwani madaraja hayo si wapo walioyapinga?
Haya, hayupo. Hii biashara ya kutwa bila umeme,inasababisha hasara kiasi gani?
Wengine walienda mbali,DP World kaileta yeye? Au ndo aliitengenezea njia? Ifike mahala ukweli usemwe,mkate bila chai umekuwa mgumu kumeza.
Siku wahusika wakiwa na uchungu na nchi yao,hayo yote hayatatokea. Kwa hiyo,mama yenu huyo yeye hakopi?

Sioni sababu ya kumtaja Magu,kwa sababu leo hii anaetazamwa ni yule aliyepo.
 
Hivi unajua maana ya legacy unajua kuna nchi zinateseka kwa sababu ya maamuzi ya mtu mmoja
Magufuli lazima atajwe sababu alikua ni moja ya marais wa hovyo
 
Jiwe tulishakubaliana kuwa alikuwa rais wa ovyo , tuachane na yaliyopita tugange yajayo
 
Mikopo mingi ni miaka 10 kuendelea, kuanzia mwaka 2030 huko lazima watu walimie meno, jamaa alikopa sana, akawa anaongopea fedha zetu.

Mwigulu naye anakopa kwa spidi ya Boeing 787 .
Msijali watalipa wajukuu zao vizuri tena vyema
 
habari za magufuli kukopa mbona zilikua wazi yaani nikutafunie kila kitu hapana maisha sio marahisi hivyo kama ulikua hufuatilii pole

Lete chanzo cha habari yako. Vinginevyo tutaona ni soga kama soga zingine za mitaani.
 
Kweli Magu alikua mwamba!
Yaani jamaa alisha fariki lakini watu bado wanamuogopa duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…