Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Chawa at work,dubuli lako
 
Visibility study = feasibility study, ela = hela. Hongera ndugu. Inaonyesha kiukweli una wito mkubwa kwenye suala zima la UJINGA.
 
Usipende kujikita kwenye petty issues za typing error hii sio thesis

Wenzako wanajikita kwenye mambo ya msingi na sio typing error
huwezi chukua credit kwenye typing error maisha sio marahisi hivyo
 
Dada na wewe unatafuta mume? Tatizo hujatulia .
Haina shida,hata we mtoto wa kiume ntakupokea. Ila,ukweli ndo huo,kubali kataa, hali zenu mjilaumu wenyewe. Hamkumpenda Magu, walikuwepo walompenda. Leo hii mnakumbatiwa na mama yenu(majizi),na yeye wapo wasipenda.
Kila rais aliepita. Alikuwa na wafuasi na wapinzani. Msitake kukwepa majukumu na kutupia mtu lawama. Aliwaelekeza njia ya maendeleo,matbo yenu yakawakatalia. Huyo mama hakujua kaachiwa madeni? Mbona hakukataa kurithi kiti! Vya bule siku zote havina thamani
 
Nani kakudanganya foleni zimekwisha? Au utembei mijini?ispokuwa endapo haya madaraja yasingekuwepo hali ingekuwa mbaya kweli, hatulalamikii ujenzi wake tunalalamikia formula ya upatikanaji wa fedha za ujenzi wa madaraja hayo, kuliko kuiumiza serekali ni heri yangejengwa kwa PPP.
Bahati nzuri umekuja kistaarabu. Hivyo,ni mjadala,ni kueleweshana,lakini si kupandikizana.
Kama kweli madaraja yamesaidia kwa kiasi kikubwa,pamoja na wehu wake na kukurupuka,vilisaidia. Sasa,unajuaje kama labda angelikuwa bado hai,hizo kesi asigezimaliza? Kwani madaraja hayo si wapo walioyapinga?
Haya, hayupo. Hii biashara ya kutwa bila umeme,inasababisha hasara kiasi gani?
Wengine walienda mbali,DP World kaileta yeye? Au ndo aliitengenezea njia? Ifike mahala ukweli usemwe,mkate bila chai umekuwa mgumu kumeza.
Siku wahusika wakiwa na uchungu na nchi yao,hayo yote hayatatokea. Kwa hiyo,mama yenu huyo yeye hakopi?

Sioni sababu ya kumtaja Magu,kwa sababu leo hii anaetazamwa ni yule aliyepo.
 
Hivi unajua maana ya legacy unajua kuna nchi zinateseka kwa sababu ya maamuzi ya mtu mmoja
Magufuli lazima atajwe sababu alikua ni moja ya marais wa hovyo
 
Jiwe tulishakubaliana kuwa alikuwa rais wa ovyo , tuachane na yaliyopita tugange yajayo
 
habari za magufuli kukopa mbona zilikua wazi yaani nikutafunie kila kitu hapana maisha sio marahisi hivyo kama ulikua hufuatilii pole

Lete chanzo cha habari yako. Vinginevyo tutaona ni soga kama soga zingine za mitaani.
 
Kweli Magu alikua mwamba!
Yaani jamaa alisha fariki lakini watu bado wanamuogopa duh.
 
Back
Top Bottom