Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Sasahivi kuna unafuu gani?Sijasema sifi,ila kifo changu hakitaleta nafuu kwa wengi kama taifa lilivyopata nafuu kwa kifo cha yule dhalim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasahivi kuna unafuu gani?Sijasema sifi,ila kifo changu hakitaleta nafuu kwa wengi kama taifa lilivyopata nafuu kwa kifo cha yule dhalim.
Chawa at work,dubuli lakoKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Umeme unakatika kila siku.Sasahivi kuna unafuu gani?
Visibility study = feasibility study, ela = hela. Hongera ndugu. Inaonyesha kiukweli una wito mkubwa kwenye suala zima la UJINGA.Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Usipende kujikita kwenye petty issues za typing error hii sio thesisVisibility study = feasibility study, ela = hela. Hongera ndugu. Inaonyesha kiukweli una wito mkubwa kwenye suala zima la UJINGA.
Haina shida,hata we mtoto wa kiume ntakupokea. Ila,ukweli ndo huo,kubali kataa, hali zenu mjilaumu wenyewe. Hamkumpenda Magu, walikuwepo walompenda. Leo hii mnakumbatiwa na mama yenu(majizi),na yeye wapo wasipenda.Dada na wewe unatafuta mume? Tatizo hujatulia .
Pls sisi sio chawa, sisi ni wana ccm au wanachama hai wa ccm.Chawa kwenye ubora wenu, hata hivyo mna hali mbaya kiasi kwamba mnashindwa kumtetea boss wenu
Bahati nzuri umekuja kistaarabu. Hivyo,ni mjadala,ni kueleweshana,lakini si kupandikizana.Nani kakudanganya foleni zimekwisha? Au utembei mijini?ispokuwa endapo haya madaraja yasingekuwepo hali ingekuwa mbaya kweli, hatulalamikii ujenzi wake tunalalamikia formula ya upatikanaji wa fedha za ujenzi wa madaraja hayo, kuliko kuiumiza serekali ni heri yangejengwa kwa PPP.
Hivi unajua maana ya legacy unajua kuna nchi zinateseka kwa sababu ya maamuzi ya mtu mmojaBahati nzuri umekuja kistaarabu. Hivyo,ni mjadala,ni kueleweshana,lakini si kupandikizana.
Kama kweli madaraja yamesaidia kwa kiasi kikubwa,pamoja na wehu wake na kukurupuka,vilisaidia. Sasa,unajuaje kama labda angelikuwa bado hai,hizo kesi asigezimaliza? Kwani madaraja hayo si wapo walioyapinga?
Haya, hayupo. Hii biashara ya kutwa bila umeme,inasababisha hasara kiasi gani?
Wengine walienda mbali,DP World kaileta yeye? Au ndo aliitengenezea njia? Ifike mahala ukweli usemwe,mkate bila chai umekuwa mgumu kumeza.
Siku wahusika wakiwa na uchungu na nchi yao,hayo yote hayatatokea. Kwa hiyo,mama yenu huyo yeye hakopi?
Sioni sababu ya kumtaja Magu,kwa sababu leo hii anaetazamwa ni yule aliyepo.
🥺🥺🥺Mimi sijawahi kuwa kwenye mifumo ya dola wala taasisi zake, niko kivyangu vyangu. Unafuu ninaozungumzia ni kutokuishi kwa hofu kama enzi za giza za yule mwovu. Na vile vile siufagilii utawala wa mama Abdul. Adui yangu ni utawala wa CCM. View attachment 2891821View attachment 2891822View attachment 2891823
Msijali watalipa wajukuu zao vizuri tena vyemaMikopo mingi ni miaka 10 kuendelea, kuanzia mwaka 2030 huko lazima watu walimie meno, jamaa alikopa sana, akawa anaongopea fedha zetu.
Mwigulu naye anakopa kwa spidi ya Boeing 787 .
habari za magufuli kukopa mbona zilikua wazi yaani nikutafunie kila kitu hapana maisha sio marahisi hivyo kama ulikua hufuatilii pole
Nchi yako inakopa na deni la taifa linatangazwa kila siku alafu hata hujui unafanya nini huku TanzaniaLete chanzo cha habari yako. Vinginevyo tutaona ni soga kama soga zingine za mitaani.
Huyo Kapita Kiwango Cha Chawa Ni Kunguni Wa Mama Aliyeshiba Damu Anabwata SasaChawa wa mama🤔
😄😅😀😀Mnapambana na Kaburi lkn bado hamtashinda.