Good, mkopo ninaotegemea kuuchukua , riba yake in 81% ya mkopo wote your first comment carries the meaning...Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopaKauli ya "unalipa riba ya 81%kwa miaka 6" ni kauli tata.
Unamaanisha nini? Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa? Au umetozwa riba ya 86% kuanzia mwanzo wa mkopo?
Hayo ni mambo mawili tofauti.
Ukijibu kunya nitakujibu hivyo hivyo! Ukijibu lugha ya staha nitakujibu lugha ya staha! Siajaleta mada hii kuonewa huruma and actually what I did is to make an inquiry and that is what I discovered! I wanted views from some people with economics background in banking to discuss if at all it makes sense to take such a loan! Wewe unaleta matusi! kejeli, dharau! I will treat you accordingly without mercy!
Akiitaja nijulishe, hahahaha...."BENKI" gani hiyo ulikopa 20M ukarudisha 36M?!!! Maaana we ticha isijekuwa umekopa Bayport!
Akiitaja nijulishe, hahahaha....
Huyo jamaaa anatumia lugha ya kejeli, matusi, dharau sitakuacha. Sina stress na mkopo, after all sijauchukua! Kuna watu wamejinijibu kiungwana kabisa! Likewise nimewajbu kiungwana!Mimi nishajitukana mwenyewe kablayeye hajanitukana kwa kumuuliza swali, kwahiyo usihofu mimi kutukanwa.
Umelipa malipo 86% ya mkopo. Riba ya mkopo haijawa 86%.Good, mkopo ninaotegemea kuuchukua , riba yake in 81% ya mkopo wote your first comment carries the meaning...Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa
No please we angalia nilivyokujibu mwanza! (sijachukua mkopo, I made an inquiry)Umelipa malipo 86% ya mkopo. Riba ya mkopo haijawa 86%.
Lugha ya matusi siitaki, nenda marekani ndio wanatumia maneno hayo.Business doesn't make sense, business is all about **** the other one as soon as POSSIBLE...... so your Questions is not relevant, ukienda kwenye mkopo YOU WILL BE FUCKED..... wewe ujaendaga mahali wakakuongezea bei ya vitu mara 2? does that make sense? no, what happens! **** THE customer.... that is what the business is!
You can do a lot if not wonders!Naomba kujua. Kama ungepewa milioni ishirini uifanyie biashara kwa miaka 6 ungepata kiasi gani?
Ili benki iweze kuwepo ni riba pato lao kubwa, halafu wewe ulitegemea kwa miaka 6 riba iwe asilimia ngapi? Na mwisho mikopo ipo kwa ajili ya uzalishaji sio kununulia vifaa vya majumbani au viwanja hapo mkopo lazima uone unakunyonya.Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Hilo haliondoi ukweli kwamba katika simulation yako, ambayo hata kichwa cha thread kimeiakisi, habari ni "nimetozwa riba ya..."No please we angalia nilivyokujibu mwanza! (sijachukua mkopo, I made an inquiry)
Ur economistics and ur answer is very understandableHiyo riba ni fair kabisa kwa kipindi hicho cha miaka 6.... hapo kwa mwaka mmoja inamaanisha ni 81/6 ambayo 13.5% (Hapo nime assume haijatozwa compound interest)
Hiyo riba hapo kuna mfumuko wa bei (Fedha kupoteza thamani) ambayo ni wastani wa 5% kwa mwaka, risk premium (Hii inafidia zile case ambazo mkopo haulipwi na benki ikapata hasara) kisha na gharama ya benki kwa ajili ya kulipia gharama za ku oparate