Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

Sio kweli waislamu wanazo hospital,vyuo,mashule,ni wewe tu usiye na maarifa hujui kama vipo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unajua Kanisa linaidai sirikali vyuo na shule ngapi ambazo Nyerere (mkatoliki mzuri) alitaifisha miaka ya 60 kwa lengo moja tu la kuwaokoa waislamu wasije wakaachwa nyuma mno na wakristo kimaendeleo? Unajua historia hiyo?
Shule za waislamu pia zilitaifishwa nyingi tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huna hoja

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli zipo hospital na mashule ya kiislam,Bakwata peke ake ina shule za secondary karibia 60.Mbali na waislamu wengine kama Agha Khan(-Ismail Islamic Community),hospital ya Agha Khan ya mwanzo ilijengwa 1964,mbali ya shule na vyuo vya jumuia hii ya uislamu..Bado Direct Aid,bado Istiqama.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo biashara wakristo walizo pendelewa wengine hawaruhusiwi kufanya mpaka waulizwe hao wakristo au ipoje hiyo
 
Sasa hicho ninachochangia kwenye Kodi kwa nini nije nichangie tena??
Swali liko pale pale. Je unatibiwa bure katika hospitali za serikali? Au nako hulipi kwa sababu zinajengwa na zinaendeshwa kutokana na kodi yako na misaada kutoka kwa mabeberu?

Amandla...
 
Ujanja ujanja tu huo kama wa sungura.Na itakuwa hukusoma hayo malalamiko yote.Umeambiwa viongozi wa kanisa wamewahi kulalamika mikutanoni na pia kuandika barua kulalamika kwanini serikali inajenga hospitali maeneo yao.
Usiyeelewa ni wewe. Wao walishangaa kwa nini serikali inajenga hospitali ambapo tayari kuna hospitali inayochangiwa na serikali. Hospitali za serikali hazijawahi kuwa tishio kwa hospitali za misheni.

Amandla...
 
mbona umeishia kwa waziri mkuu je Raisi na makamu wa Raisi nao walikuwa wakristo, punguza mihemko, tafakari kwanza kabla ya kuandika.
 
Hapa ndio panaonyesha kuwa haujui unachozungumzia. Hospitali zilizomo katika MoU hiyo hazikujengwa na serikali. Hospitali ya Bugando ilijengwa na wakatoliki na ya KCMC ilijengwa na waluteri. Makanisa hayo ndio yalikuwa yakiziendesha hizo hospitali kabla ya serikali kuzitaifisha. Ni baada ya serikali kuzigeuza magofu ndio ikataka kuzirudisha kwa wale iliyowapokonya. Masharti ya wamisheni kuzipokea ndio yapo kwenye hio MoU.

Amandla...
 
Mwenyekiti wa chama haongei na hasemi chochote.

Mama aliyeachiwa mji haongei na hasikiki popote.

Watoto na wazee wadogo na akili wanazurura mitaani wakimtetea mama watoto.

Chama hakina mwenyewe na watoto wa baba mwenye mji wamebakia yatima na Mali alizoziacha baba mama anakula na wababa wengine.
 
Uongo mtupu. Serikali haikuwahi kutaifisha hospitali yoyote. Weka ushahidi kama u mkweli weka ushahidi. Zingetaifishwa za Aga Khan kwanza.
 
Umesoma lakini kilichoandikwa mwanzo kuhusu malalamiko ya kanisa?.soma tena
Tarehe 23 Januari 2019, Rais Magufuli alikutana na viongozi wa dini zote IKULU. Kwenye Mkutano ule Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Tanga Bwana Maimo Mndolwa alilalamika kwa Rais Magufuli kuwa Serikali inavunja Mkataba kwa kujenga hospitali kwenye maeneo ambayo Kanisa imeachiwa kuwa na hosptali ambazo zinapewa fedha na Serikali.
Sasa askofu Mndolwa hakuwa akizungumzia habari za Bugando. Alikuwa akitetea kuingiliwa majimboni mwao.
 
Wewe unaona akili serikali kujenga hospitali nyingine sehemu ambapo ipo, na kuacha kujenga pasipo na hospitali?
 
Swali liko pale pale. Je unatibiwa bure katika hospitali za serikali? Au nako hulipi kwa sababu zinajengwa na zinaendeshwa kutokana na kodi yako na misaada kutoka kwa mabeberu?

Amandla...
Hawa viumbe wana chuki na hasira za kimaskini tu, kwao ni bora tukose wote, badala yao kujenga hospitali zao waisaidie serikali kuipunguzia mzigo kwa kuongeza vituo vya afya maeneo tofauti nchini.

Wana thinking ya kimaskini kabisa, wanajaribu kuificha lakini hata haifichiki, kwa mwerevu atawatambua upesi sana.
 
Uongo mtupu. Serikali haikuwahi kutaifisha hospitali yoyote. Weka ushahidi kama u mkweli weka ushahidi. Zingetaifishwa za Aga Khan kwanza.
Faiza unataka ushahidi upi? Kama hazikuitaifisha kwa nini serikali walirudisha hospitali za Bugando na KCMC? Serikali ilichagua hospitali za kutaifisha.
Serikali haikutaifisha hospitali zote. Haikutaifisha Hindu Mandal ya wahindu. Haikutaifisha Aga Khan ya wa shia. Sidhani kama walitaifisha za Peramiho, Kipatimu, St. Walburg Nyangao na nyingine. Hiyo ya Nyangao ilianza 1958 watawa wa Benedictine. Inawezekana iltaifisha za wamisheni kwa sababu zilikuwa kubwa na nyingi. Hizi AgaKhan na Hindu Mandal hazikuwa hivyo miaka ya 1970s.

Haya tuanze na hospitali ya Bugando.

Hiki ni sehemu ya historia ya Bugando iliyopo kwenye hiyo link.

History[edit]​

This hospital was built by the Catholic Church between 1968 and 1977. It was officially opened on 3 November 1971, by Tanzania's founding president, Julius Nyerere. In 1972 the Hospital was nationalized by the Government. However, 13 years later, it was handed back to the Catholic Church in Tanzania, with the understanding that the hospital be run as a regional referral hospital for the Lake Zone, spanning 8 of Tanzania's 31 regions (total population 14 million in 2017), with the collaboration of the Government of Tanzania.[1]

Kuhusu KCMC

Kilimanjaro Christian Medical University College is situated 4 kilometers north of Moshi Municipality on the slopes of the snowcapped Mount Kilimanjaro, Tanzania.

In the early 1960s, the government of the then Tanganyika called upon the Christian Churches in the country to establish a referral and teaching hospital for the Northern Zone. Under the leadership of the Lutheran Church, Anglican and Moravian Churches in Tanganyika established the Good Samaritan Foundation (GSF) which planned and raised money from both local and overseas partners to build and equip the Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) for service, teaching, and research. The KCMC was opened in March 1971 after completion of the hospital buildings and was immediately taken over by the Tanzania Government. It was, however, handed back to the GSF in August 1992. The changes in Government policy to liberalize the economy and provision of social services rekindled the desire for higher education within the circles of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT). In 1993 the Executive Council of the ELCT decided to establish a Lutheran university, β€œTumaini University,” comprising, among others, The Kilimanjaro Christian Medical College.

Uongo haukupendezi Faiza ukiwa ni binti wa kiislamu.

Amandla...
 
Na hizi je
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2703511View attachment 2703512Hapo vipi πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…