Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa.

Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni ACT na CHAUMA. Ukiangalia mikutano ya CHAUMA ni aibu tupu, chama kinaitisha mkutano kinaishia kuhutubia ng'ombe wawili. Chama kinazomewa na raia.

Ukija Kwa ACT wamezindua operation maji maji, ACT wameenda Tabora wamefunga spika kubwa aswaa, afu wanautubia watu 10. Hivi Kuna haja Gani ya kutumia Spika?

Vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi vinatia aibu mnoo Kwa taifa. Waangalizi wa Kimataifa wa uchaguzi watapoteza muda na pesa kuja kushuhudia uchaguzi hewa, uchaguzi uliokosa mvuto toka nchi ipate uhuru
 
Uchaguzi hautafanyika kama hakuna mabailiko
 
Waandamizi wakuua Demokrasia 2025 watafute shughuli za kufanya Umma umeshatambua ulaghai wao dhahiri shahiri Mwandiga and Co na Wembo na kundi lake

No reform No Election
 
Ukija Kwa ACT wamezindua operation maji maji, ACT wameenda Tabora wamefunga spika kubwa aswaa, afu wanautubia watu 10. Hivi Kuna haja Gani ya kutumia Spika?
Vyama vyote nje ya CDM ni mapandikizi ys ............
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa.

Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni ACT na CHAUMA. Ukiangalia mikutano ya CHAUMA ni aibu tupu, chama kinaitisha mkutano kinaishia kuhutubia ng'ombe wawili. Chama kinazomewa na raia.

Ukija Kwa ACT wamezindua operation maji maji, ACT wameenda Tabora wamefunga spika kubwa aswaa, afu wanautubia watu 10. Hivi Kuna haja Gani ya kutumia Spika?

Vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi vinatia aibu mnoo Kwa taifa. Waangalizi wa Kimataifa wa uchaguzi watapoteza muda na pesa kuja kushuhudia uchaguzi hewa, uchaguzi uliokosa mvuto toka nchi ipate uhuru
Picture please
 
Unafanyaje uchaguzi kwenye mazingira ya sasa ? Wananchi hawana hamasa na wengi hawatopiga kura. ndio maana huiunga mkono chadema inayo onyesha angalau matumaini ya njia sahihi ya kuiendea.
 
Back
Top Bottom