Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mwasibu vipi tenaKazi ipo kazini
MWasibu maana yake nini mto wa mbu ?Mwasibu vipi tena
Vyama vyote nje ya CDM ni mapandikizi ys ............Ukija Kwa ACT wamezindua operation maji maji, ACT wameenda Tabora wamefunga spika kubwa aswaa, afu wanautubia watu 10. Hivi Kuna haja Gani ya kutumia Spika?
Picture pleaseKama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa.
Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni ACT na CHAUMA. Ukiangalia mikutano ya CHAUMA ni aibu tupu, chama kinaitisha mkutano kinaishia kuhutubia ng'ombe wawili. Chama kinazomewa na raia.
Ukija Kwa ACT wamezindua operation maji maji, ACT wameenda Tabora wamefunga spika kubwa aswaa, afu wanautubia watu 10. Hivi Kuna haja Gani ya kutumia Spika?
Vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi vinatia aibu mnoo Kwa taifa. Waangalizi wa Kimataifa wa uchaguzi watapoteza muda na pesa kuja kushuhudia uchaguzi hewa, uchaguzi uliokosa mvuto toka nchi ipate uhuru
Unafanyaje uchaguzi kwenye mazingira ya sasa ? Wananchi hawana hamasa na wengi hawatopiga kura. ndio maana huiunga mkono chadema inayo onyesha angalau matumaini ya njia sahihi ya kuiendea.Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa.