Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Watu hawaoi kabila huwa wanaoa mtu

Mleta mada hazimo kichwani
Huwezi mtofautisha mtu na kabila lake kwa sababu maisha ya wengi yapo connected na mizimu ya kabila lake,thou unatoka huko we ni mali ya mzimu wa kabila fulani sababu ya maagano ya mwanzishi wa Kabila husika aliyoingia na mizimu labda tu ukute mtu kajidisconnet na mizimu ya kabila lake.
Ndo maana Pana Tabia mfanano za Kila kabila hizo mfanano wa Tabia uletwa na mizimu.
Kama mtu Hana Tabia za kabila lake amejidisconnet.
 
Inabidi uangalie mtu mwenyewe sio kabila.Mke mzuri huwezi mpata kwa kuangalia kabila lake.Unamtizama yeye kama yeye Full stop

Mambo ya kuangalia sijui kabila gani ni ushirikina mtupu
 
Sijaoa mluguru mimi ni mpare na nimeoa upareni kwetu. Sisi wapare ni patrilineal na ndio uanaume sijawahi kuwaza maishani kuwa hata na mchepuko wa kiluguru achilia mbali mke kwasababu nawafahamu tabia zao. Waluguru ni matrilineal kwahiyo kama umeoa huko pole sana usishangae hata watoto wako wakaitwa surname za majina ya uluguruni KWA wajomba zao.
Ndo mana nmekwambia labda wewe hujitambui kama n mwanaume au baba wa familia.,leo watu wanaitwa majina ya utani na majina hayo yanaishi kuliko majina yao ya kuzaliwa...,so mtoto kuitwa au kupewa jina la kiluguru kuna shida gani?

Shida wewe unaonekana ni mbinafsi sana wa kiroho na hata huko ulipoolewa sijui kuoa inaonekana kuna mazinge mengi yanakukuta lakini husemi ukakimbilia kwa waluguru..., Jitafakali vizur kesho utuletee wapare uzi wao hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
Pwani hakunaga wivu mzee.
Tanga to Mtwara hakuna wivu, Moro baadhi ya makabila wana tabia za Kipwani pwani
 
Yaani kujisemesha huko kote mleta mada anaogopa kuchapiwa huyu 😂😂 Mkuu mbususu haina last seen wewe log in mradi hujaona wala hujaambiwa chochote , tulia mjenge familia.
Hiyo ni mali ya mtu , kama ambavyo humpangii kutumia macho yake au masikio yake acha itumike 😂 Sasa utaoa kabila gani , mademu wote wanakitembeza sema tu hupati taarifa sahihi ! Wewe oa , tunza familia
 
Pole
Ndo mana nmekwambia labda wewe hujitambui kama n mwanaume au baba wa familia.,leo watu wanaitwa majina ya utani na majina hayo yanaishi kuliko majina yao ya kuzaliwa...,so mtoto kuitwa au kupewa jina la kiluguru kuna shida gani?

Shida wewe unaonekana ni mbinafsi sana wa kiroho na hata huko ulipoolewa sijui kuoa inaonekana kuna mazinge mengi yanakukuta lakini husemi ukakimbilia kwa waluguru..., Jitafakali vizur kesho utuletee wapare uzi wao hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Pole KWA kuoa mluguru na utagongewa sana amini maneno yangu au ushagongewa ila kwakuwa umebaki kuwa mjinga pole sana ushamezwa na wajomba wa wanao.
 
Na ni watu wa kuridhika, kuwa namaendeleo kwao ni shida. kila mwaka kukutana na kucheza ngoma, nilikuta sehemu wanajengea makaburi na tariz na ukiangalia vyoo vyao ni mwendo wa magunia futi2
Ngoma mbona makabila mengi tu wanacheza,kitu kingine ngoma n tamaduni za makabila wengi ni labda kusema wanaziendeshaje..,na mkeo au mumeo kupenda ngoma n makubaliano yenu wawili tu..,mtu anaoa mwanamke malaya aliyekuwa anajiuza na wanaendesha maisha itakiwa ngoma?kuhus maendeleo sema kabila la kiluguru sio maarufu sana na n kabila ambalo hata ukimkuta mtu anamaisha good hatambuliki..

Kuhusu makaburi kujengea na tailizi hizo n kasumba za watu wengi sana na nahisi hata hao waluguru watakuwa wameiga cos n tamadun za watu wengine kabisa
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
Wakaguru je? Maana wote wanatokea mkoa mmoja na wana GURU mwishoni
 
Pole

Pole KWA kuoa mluguru na utagongewa sana amini maneno yangu au ushagongewa ila kwakuwa umebaki kuwa mjinga pole sana ushamezwa na wajomba wa wanao.
Shida unaishi maisha ya kukalili sana,ondoka kwenye maisha hayo ushakuwa mtumwa...,ndo nyie ambao mnakutwa mmening'inia kwenye kamba mmejinyonga cos mkiamin kabila flani ndiyo tabia yao alafu unakuja kuikuta hiyo tabia kwa huyo mpare wako ndani kuku maji wewe..

Sasa kugongewa mwanamke wewe umeliona kwa waluguru tu?embu amka usije jikojolea hapo ulipo ni haibu sana
 
Yaani kujisemesha huko kote mleta mada anaogopa kuchapiwa huyu [emoji23][emoji23] Mkuu mbususu haina last seen wewe log in mradi hujaona wala hujaambiwa chochote , tulia mjenge familia.
Hiyo ni mali ya mtu , kama ambavyo humpangii kutumia macho yake au masikio yake acha itumike [emoji23] Sasa utaoa kabila gani , mademu wote wanakitembeza sema tu hupati taarifa sahihi ! Wewe oa , tunza familia
Huyu atakuwa katoka milembe siku s nying ahahaa...,
 
Asilimia kubwa uliyoyataja ni tabus za kibantu au watu weusi.
Afrika mtoto asilimus kubwa ni wa mama.

mjomba angu aliooa mchaga walipo walipo achana aliondoka na watoto wote tena wakubwa.

Ukizaa na mwanamke wa kigoma siku mkiachana ujue hao watoto sio wako mfano Diamond, Omydimpo. Makabila mengi ndio hivyo.

Wanaume hatuna cheti tumezaliwa kunyonywa tu. Unanyonywa na mke, watoto, ndugu majirani serikali, Marafiki na kila anae kuona.
Sawa umekula?
Nunua simu mkuu una pointi ila haieleweki
 
Back
Top Bottom