Ulichoongea 100% ni uongo,kila kabila lina madhaifu yake,jirani yangu kaoa Mluguru,wanaishi vzr na sijawahi ona hayo uliyosema,nimeishi Morogoro kwa miaka mingi,nayafahamu makabila mengi ya huu mkoa...waluguru ni watu wenye upendo na hawana majivuni,...Wapogoro,wandewe,Wandamba,Wakaguru ni makabila nayoyafahamu vzr maana nimezunguka huu mkoa wote...acha kuchafua makabila ya watu,...Zungumzia kuhusu Wapare yako mengi yanayosemwa kuhusu Wapare swali ni je? Wapare wote wako hivyo?umalaya yaweza kua ni hulka ya mtu lkn huwez unganisha kabila...tumesoma,nimefanya kazi na wapare wapo wenye roho nzuri na wabaya tena walikua wanachonganisha na kufitinisha sana ofisini, lkn sio wote.